Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

Seriously wanaume msioe wanawake waliozaa kabla ya kuolewa. Miaka chache ilopita nilizaa na dada mmoja hivi, nikamhudumia vizuri. Baadae tukapotezana kwa mda kutokana na majukumu ya kazi, pia upande wangu nilitaka apate mda wa kuchumbiwa ili aolewe, hilo likatimia baada ya mwaka akaolewa. Akanitumia ujumbe kuwa ameolewa hivo siku nikirudi nisimtafute. Baadae nikamwuliza vp mtt wangu, akajibu kuwa nisihangaike tena kuhudumia coz mme wake amesema nisirudie kutoa hata senti kwa ajili ya mtt. Nikakubaliana na wazo la mume mwenzagu mpya, na nikakata mawasiliano kwa mda wa miaka miwili hivi, ingawa nilikuwa napenda nimfanyie kitu mwanangu... Mwaka wa 3 mdada akanibip nikampandia hewani akaomba tuonane. Nikafanya namna tuonane nae mahali, akanieleza mambo mengi ktk ndoa yake. Nikamwomba nirudishe huduma kwa mwanangu, na nimnunulie ardhi pamoja na kujenga, akakubali pia... Baadae tukajikuta urafiki wetu ukirudi km awali. Siku moja akaniambia tuzae, nikamgomea sana na akaacha na mi nikadhani ameachana na wazo hilo kumbe alipanga anitege kwa siri, na akafanikiwa mimba ikanasa. Aliponiambia baadae sana nikamkatalia akaniambia km ni huduma mme wake atakuwepo akimaanisha huyo mtt ni ndani ya ndoa hivo mi sintahusika kwa lolote ingawa baba wa kibailojia ni mimi. Nikaazimia nimwache kimya kimya. Niliweza lakini jasho sana, wanaume wanaelewa ilivokuwa ngumu kuachana na mwanamke anaekupenda sana. Lakini nilifanikiwa baada ya misuko suko ya mda mrefu... Seriously usioe mwanamke mwenye mtt, mtu na mzazi mwenzie hawaachanagi huwa wana pozi kwanza ndoa ipite afu wanarudiana baadae
Aisee mbombo ngafu
 
Hakuna jambo jipya au gumu hapo. Suala ni uamuzi wa dhati basi. Kwani kuoa au kuolewa na aliyezaa ni issue?? Kuna waliooa bikira kabisa na ndoa zao zina hali mbaya. Wapo tena wengi wameoana hawana watoto wa nje lkn bado moto unawaka ndani ya nyumba. Kwa mtazamo wangu hakuna lisilowezekana kwa anayedhamiria
 
Seriously wanaume msioe wanawake waliozaa kabla ya kuolewa. Miaka chache ilopita nilizaa na dada mmoja hivi, nikamhudumia vizuri. Baadae tukapotezana kwa mda kutokana na majukumu ya kazi, pia upande wangu nilitaka apate mda wa kuchumbiwa ili aolewe, hilo likatimia baada ya mwaka akaolewa. Akanitumia ujumbe kuwa ameolewa hivo siku nikirudi nisimtafute. Baadae nikamwuliza vp mtt wangu, akajibu kuwa nisihangaike tena kuhudumia coz mme wake amesema nisirudie kutoa hata senti kwa ajili ya mtt. Nikakubaliana na wazo la mume mwenzagu mpya, na nikakata mawasiliano kwa mda wa miaka miwili hivi, ingawa nilikuwa napenda nimfanyie kitu mwanangu... Mwaka wa 3 mdada akanibip nikampandia hewani akaomba tuonane. Nikafanya namna tuonane nae mahali, akanieleza mambo mengi ktk ndoa yake. Nikamwomba nirudishe huduma kwa mwanangu, na nimnunulie ardhi pamoja na kujenga, akakubali pia... Baadae tukajikuta urafiki wetu ukirudi km awali. Siku moja akaniambia tuzae, nikamgomea sana na akaacha na mi nikadhani ameachana na wazo hilo kumbe alipanga anitege kwa siri, na akafanikiwa mimba ikanasa. Aliponiambia baadae sana nikamkatalia akaniambia km ni huduma mme wake atakuwepo akimaanisha huyo mtt ni ndani ya ndoa hivo mi sintahusika kwa lolote ingawa baba wa kibailojia ni mimi. Nikaazimia nimwache kimya kimya. Niliweza lakini jasho sana, wanaume wanaelewa ilivokuwa ngumu kuachana na mwanamke anaekupenda sana. Lakini nilifanikiwa baada ya misuko suko ya mda mrefu... Seriously usioe mwanamke mwenye mtt, mtu na mzazi mwenzie hawaachanagi huwa wana pozi kwanza ndoa ipite afu wanarudiana baadae
Ninaufanyia kazi
 
Changamoto ya mtoto wa kambo, alafu use unaishi na Shemeji ambae kila dakika anaona ukimkosoa mtoto wako wa kambo unamuonea ni shida kubwa mno....!!!
Mweeh pole, huyo shemeji ako ana miaka mingapi? Kama kuna kitu ambacho unatakiwa ukijue ni kuwa ukiamua kulea mtoto wa kambo jua tu wapo watakaokuwa wanafuatilia kila unalolifanya kwa huyo mtoto. Kama sio ndugu wa mume, au mama wa mtoto basi hata majirani watataka wajue unaishije humo ndani na huyo mtoto. Na mtoto atakuwa anaulizwa mambo mengi tu concerning na unavyomlea. Ila freedom ya kumlea mwanao bila kuingiliwa , sometimes kwa mtoto wa mtu mwingine unaweza usiwe nayo.
 
Shemeji is 20 yrs.... Lakini nilimshamsamehe tu... Yaani yeye kila kitu ni negative..
Kwa upande wangu mtoto wa 7 yrs akitoka shule alafu akafua socks zake yy mwenyewe kwanza kisha dada au mimi nije nizikague na kuzirudia km amefua chini ya kiwango chake ni sahihi. Jamani eyi hapo ataguna na kusema *mmmmh jamani shem* alafu anaingia ndani anakuwa km amenuna vile.

Huuuuuuuu yani kuna mambo yanachosha kweli.
 
Hiyo no.5 kwangu ni big no. Yaani mama yake akae anakula bata mi nahangika na mwanae hapana hapana!
[emoji23] [emoji23] tena huwa wanajuwa wakorofi sana wanapenda michezo.. Mara ameenda kusiko julikana unatafuta nusu saa humuoni( km unaishi uswaz) ndo utakoma...[emoji15] [emoji15]
 
Shemeji is 20 yrs.... Lakini nilimshamsamehe tu... Yaani yeye kila kitu ni negative..
Kwa upande wangu mtoto wa 7 yrs akitoka shule alafu akafua socks zake yy mwenyewe kwanza kisha dada au mimi nije nizikague na kuzirudia km amefua chini ya kiwango chake ni sahihi. Jamani eyi hapo ataguna na kusema *mmmmh jamani shem* alafu anaingia ndani anakuwa km amenuna vile.

Huuuuuuuu yani kuna mambo yanachosha kweli.

Nafikiri kila mtu ana style yake ya kulea mtoto/watoto wake. Kama umeamua kuwalea wanao kwa style fulani wewe fanya kwa watoto wote walio ndani ya nyumba yako, asiyetaka muache tu aendelee kugugumia. As long as unajua nafsi yako haina nia ovu na huyo mtoto, basi wewe mlee tu huyo mtoto kwa jinsi unavyoona ni sawa. Huyo shemeji ako ni mpitaji tu hapo, wala asikunyime amani, just play your part, mengine muachie Mungu. No matter utafanyaje, sio kila mtu ataappreciate unachokifanya.
 
Ni ukweli kabisa mdada mzuri.. Kuiridhisha nafsi ya binadamu ni kazi sana.. Ninaamua kuwafundisha kazi mapena wanangu kwani kuna Leo na kesho siku dada hayupo na mimi nipo kazini!??? Pia kuna wadogo zake wengi watahitaji kujifunza kutoka kwake.. Nineanua kumlea vyema ili anisaidie kuwa kioo cha wadogo zake .....

Lazima nimkaze mapeema sio kufika la 7 mtoto hajui kufua shati la shule...
 
Ndugu yangu, simamia unachokiamini na kuona ni bora kwa watoto wako
 
Anapiga simu kwa mzazi mwenzie kisha anaagiza usafiri ( bodaboda ( na kama ana hamu nae sana anamsubiria likizo yote akakae nae hadi siku mbili kbl ya shule kufunguliwa...!

Ni haki yake kumuona mwanae lakini sio eti apige simu iujumaa kisha jumapili anrudishe mie kwangu hiyo sitaki.. Likizo zipo NNE katika mwaka ruksa amchukue zote.
Hivi ni sawa kumnyima mama kumuona mwanae wa kumzaa???!.ingekua mimi ningempa hela mama mtu akae na mwanae amlee afya itengemae,kama anafuja hela ningekua nanunua vitu na vyakula mwenyewe... In my opinion, silei mtt ilhali mamake yupo, I believe ana best interest kwa mwanae kuliko mimi,
likewise mtu halei mwanangu unless mimi nimefariki over...
 
Wanasema wanawake huona aibu kutongoza lakini wanatongoza kwa vitendo vizuri namna ambayo mwanaume si rahisi achomoke. Elewa kuwa huyo ni mzazi mwenzio sio rahisi umkatalie kuonana nae na awali alishakuambia kuna kitu anataka akuambie.... Mwanaume huwa siku zote ni dhaifu mbele ya penzi, ndo maana Samson alinyolewa kilaini na Delila. Daudi aliangalia chini toka ghorofani akamwona mke wa uria anaoga saa hiyo hiyo akamwita mahali akamshughulikia.
Unaendekeza uzinzi na mke wa mtu af unasema usioe mwanamke aliezaa shame on youu...
Kama we kweli mwanaume oa wako and be faithful,.. Ulizalisha ukashindwa kulea wenzio wanakulelea,huoni we ndo tatizo hapo..mtu kashaolewa na mumewe kabeba jukumu lako unajirudisha ili iweje...mngependana sana si mngeooana???..mwanaume majukumu, utayakimbia mpaka lini???.!oa wako zaa wa kwako ulee
I tell u hii dhambi yako itakutafuna muosha huoshwaa...mnakera sana famba kbs..
 
Haha wanajua wanachokifanya na wazazi wenzao, ndo maana wengi pamoja na kuwa na watoto still hawataki kuoa single mommas pia. Kwa kweli muosha huoshwa tu, acha waendelee kuwa wavurugaji afu wategemee wataenda kuoa na kuishi happily ever after.
 
Back
Top Bottom