Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

Mugondo

Senior Member
Jul 30, 2013
168
179
Habari wanajamvi,

Kutokana na hali ya uwepo wa watoto wengi wa nje ya ndoa hivi karibuni, nimeona niulize maswali yafuatayo humu jamvini ili tupate maoni, ushauri na uzoefu juu ya suala hili.
  1. Je, ni busara kwa mtu kuoa au kuolewa na mtu aliyezaa na mtu mwingine?
  2. Je, ukioa au kuolewa naye mawasiliano ya hao wazazi juu ya mtoto wao yanatakiwa kuwaje?
  3. Je, ni sahihi mtoto kuchukuliwa ili akalelewe na baba/mama wa kambo?
  4. Kama atachukuliwa kulelewa na baba/mama wa kambo, je mama/baba mtoto aruhusiwe kuja kumuona mtoto?
  5. Na vipi mwezi ambaye anakuja kuzaa nje baada ya ndoa kufungwa? Je mtoto aletwe na kulelewa na watoto wengine au aachwe kwa huyo hawara?
  6. Je, kama mwenzi amezaa nje ya ndoa kuna haja ya kuendelea kufanya mipango ya maendeleo pamoja au ni bora kila mtu ajijenge ki mpango wake?
  7. Ni mazingira yapi mazuri yatawezesha ndoa iendelee kustawi ili hali kuna mtoto wa nje ya ndoa?
 
Habari wanajamvi,

Kutokana na hali ya uwepo wa watoto wengi wa nje ya ndoa hivi karibuni, nimeona niulize maswali yafuatayo humu jamvini ili tupate maoni, ushauri na uzoefu juu ya suala hili.
  1. Je ni busara kwa mtu kuoa au kuolewa na mtu aliyezaa na mtu mwingine?
  2. Je ukioa au kuolewa naye mawasiliano ya hao wazazi juu ya mtoto wao yanatakiwa kuwaje?
  3. Je ni sahihi mtoto kuchukuliwa ili akalelewe na baba/mama wa kambo?
  4. Kama atachukuliwa kulelewa na baba/mama wa kambo, je mama/baba mtoto aruhusiwe kuja kumuona mtoto?
  5. Na vipi mwezi ambaye anakuja kuzaa nje baada ya ndoa kufungwa? Je mtoto aletwe na kulelewa na watoto wengine au aachwe kwa huyo hawara?
  6. Je kama mwenzi amezaa nje ya ndoa kuna haja ya kuendelea kufanya mipango ya maendeleo pamoja au ni bora kila mtu ajijenge ki mpango wake?

Haya yote uliyouliza ni changamoto kubwa sana mkishakuwa na watoto nje ya ndoan,ngoja tusubiri wenye uelewa wa mambo haya waje kutujuza.
 
Hayo yote ni swala la uwazi na makubaliano baina yenu wawili mkimtanguliza MUNGU, tena iwe ni mapema tu baada ya kukubaliana kuanza mahusiano yenu.
Mkuu lakini wanaume wengi wanachagua kutuficha badala ya kutueleza ukweli kabla,

Mfano mimi nilifunga ndoa ya kikristo sijui km kuna handsome baby boy out there... Mwanangu akiwa na miezi 7 tumboni niligundua tena kwa kukuta SMS yy bado hakuwa tayari kuniambia.

Nilichukua jukumu la kutoa onyo Kali na kumsamehe na pia tumemchukua kutoka kwa mamaye baada ya kutetereka sana kiafya. Tumeamua kuishi nae jumla.

Changamoto ni kwamba mama yaje anataka *eti aje nyumbani kumuona* msimamo wangu ni kwamba akija kumuona mwanae mahali ninapoishi aondoke nae maana sitapenda kuendelea kumuona machoni pangu..

Samahani km nitakuwa nimemkwaza yeyote kwa maneno yangu.

Again am sorry.
 
Mimi nachangia kwa upande wa kiumeni.

Kufikiria kuoa au kutomuoa Mama mwenye mtoto ni jambo moja, kumpata asiye na Mtoto sasa ndio shughuli ilipo.

Nilifanya utafiti wangu usio rasmi yaani kwenye kila Mabinti kumi wanaovutia (yaani anayekushawishi umtongoze) saba mpaka nane kati yao ni either tayari ana Mtoto/Watoto au yupo kwenye ndoa.

We hebu just imagine...usome S/Msingi, umalize sekondari, uende chuo, uanze kazi.. ndio sasa useme ngoja utafute Mke...labda uamue tu kubeba yeyote atakayekuja mbele yako, ila kama una choice zako mzee, wengi wamewahiwa.

Usidhani wanaoamua kuoa Mwenye Mtoto ni kwa utashi wao, ni imembidi, hapa ni kujiandaa tu kisaikolojia kulea Mtoto/Watoto wa kambo.
 
Mkuu lakini wanaume wengi wanachagua kutuficha badala ya kutueleza ukweli kabla,

Mfano mimi nilifunga ndoa ya kikristo sijui km kuna handsome baby boy out there... Mwanangu akiwa na miezi 7 tumboni niligundua tena kwa kukuta SMS yy bado hakuwa tayari kuniambia.

Nilichukua jukumu la kutoa onyo Kali na kumsamehe na pia tumemchukua kutoka kwa mamaye baada ya kutetereka sana kiafya. Tumeamua kuishi nae jumla.

Changamoto ni kwamba mama yaje anataka *eti aje nyumbani kumuona* msimamo wangu ni kwamba akija kumuona mwanae mahali ninapoishi aondoke nae maana sitapenda kuendelea kumuona machoni pangu..

Samahani km nitakuwa nimemkwaza yeyote kwa maneno yangu.

Again am sorry.
Umeweka utaratibu gani wa mama wa mtoto kumuona mwanae?..
 
Oh pole sana dear...I can feel it!
 
Hapana asee, mbona umeuliza hivo?
Sitamani hata watoto wa baba tofauti itokee bahati mbaya sana
Kweli, kama unaweza kuepuka ni vizuri, ikishindikana basi unabeba msalaba wako. nimeuliza kama vile niliona kama vile mkono as long as wameridhiana
 
Umeweka utaratibu gani wa mama wa mtoto kumuona mwanae?..
Anapiga simu kwa mzazi mwenzie kisha anaagiza usafiri ( bodaboda ( na kama ana hamu nae sana anamsubiria likizo yote akakae nae hadi siku mbili kbl ya shule kufunguliwa...!

Ni haki yake kumuona mwanae lakini sio eti apige simu iujumaa kisha jumapili anrudishe mie kwangu hiyo sitaki.. Likizo zipo NNE katika mwaka ruksa amchukue zote.
 
Habari wanajamvi,

Kutokana na hali ya uwepo wa watoto wengi wa nje ya ndoa hivi karibuni, nimeona niulize maswali yafuatayo humu jamvini ili tupate maoni, ushauri na uzoefu juu ya suala hili.
  1. Je ni busara kwa mtu kuoa au kuolewa na mtu aliyezaa na mtu mwingine?
  2. Je ukioa au kuolewa naye mawasiliano ya hao wazazi juu ya mtoto wao yanatakiwa kuwaje?
  3. Je ni sahihi mtoto kuchukuliwa ili akalelewe na baba/mama wa kambo?
  4. Kama atachukuliwa kulelewa na baba/mama wa kambo, je mama/baba mtoto aruhusiwe kuja kumuona mtoto?
  5. Na vipi mwezi ambaye anakuja kuzaa nje baada ya ndoa kufungwa? Je mtoto aletwe na kulelewa na watoto wengine au aachwe kwa huyo hawara?
  6. Je kama mwenzi amezaa nje ya ndoa kuna haja ya kuendelea kufanya mipango ya maendeleo pamoja au ni bora kila mtu ajijenge ki mpango wake?
  7. Ni mazingira yapi mazuri yatawezesha ndoa iendelee kustawi ili hali kuna mtoto wa nje ya ndoa?
Inategemea
 
Mkuu lakini wanaume wengi wanachagua kutuficha badala ya kutueleza ukweli kabla,

Mfano mimi nilifunga ndoa ya kikristo sijui km kuna handsome baby boy out there... Mwanangu akiwa na miezi 7 tumboni niligundua tena kwa kukuta SMS yy bado hakuwa tayari kuniambia.

Nilichukua jukumu la kutoa onyo Kali na kumsamehe na pia tumemchukua kutoka kwa mamaye baada ya kutetereka sana kiafya. Tumeamua kuishi nae jumla.

Changamoto ni kwamba mama yaje anataka *eti aje nyumbani kumuona* msimamo wangu ni kwamba akija kumuona mwanae mahali ninapoishi aondoke nae maana sitapenda kuendelea kumuona machoni pangu..

Samahani km nitakuwa nimemkwaza yeyote kwa maneno yangu.

Again am sorry.

Sijui kwa nini watu wanashindwa kuwa wazi kuwa wana mtoto/watoto ili mkajadiliana kabla ya kufunga ndoa! Pole sana na hongera kwa kuishi na huyo handsome boy. I hope una m-treat vizuri, na kumruhusu akamuone mama yake likizo, right?
 
Back
Top Bottom