Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

Post nzuri ila ulipokosea ni kukitelekeza kijiji chako cha ujamaa.hivi unamuhukumu vipi mtoto Na kumuadhibu kisa mama yake alikuzingua.
Umelishwa limbwata au zuzu wewe.

Iwe limbwata, iwe uzuzu lakini nimetambua ni nini maana ya kupenda ukapendwa
 
Umetoka kutuambia hutaoa mwanamke mwenye mtoto japokua wewe una baby mama umemtelekeza...naachaje kuconclude kwa mfano...
Endelea kuropoka tu....unadhani wote tuliokuwa na watt tumezaa nje ya ndoa km ww
 
Haya mambo ni kumtanguliza mungu na zaidi kbl ya kuoana uwazi na ukweli unatakiwa. Lkn la msingi hata kama mtoto si wako huna budi kuwa na consciousness nae na umchukulie ni wa kwako kabisa.
 
Endelea kuropoka tu....unadhani wote tuliokuwa na watt tumezaa nje ya ndoa km ww
Werevaaa....mbna unajicontradict ss umetoka kusema umezaa ila hutaoa mwenye mtoto...mara saivi unaruka kimanga,vipi umedata ama vp......unadhani kila mtu mzaa nje kama wewe Hehehe unalooo babuu limekugandaaa....
 
Kama ni muumini, sali and have faith. Mambo yote mazuri yanakuja kwa imani, in my view and faith.
Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka, wewe sio mwanamke wa hivi hivi. Uko civilized and may be, humble. Hiyo inaongeza chances zako za kukutana na mtu anayefanana na wewe. So, again, don't worry.
Amen! Nashukuru sana mkuu! Yaani utadhani unanifahamu hahahhaha....let me keep my fingers crossed!
 
Werevaaa....mbna unajicontradict ss umetoka kusema umezaa ila hutaoa mwenye mtoto...mara saivi unaruka kimanga,vipi umedata ama vp......unadhani kila mtu mzaa nje kama wewe Hehehe unalooo babuu limekugandaaa....
Uelewa wako upo chini sana naona napoteza muda tu
 
Shemeji is 20 yrs.... Lakini nilimshamsamehe tu... Yaani yeye kila kitu ni negative..
Kwa upande wangu mtoto wa 7 yrs akitoka shule alafu akafua socks zake yy mwenyewe kwanza kisha dada au mimi nije nizikague na kuzirudia km amefua chini ya kiwango chake ni sahihi. Jamani eyi hapo ataguna na kusema *mmmmh jamani shem* alafu anaingia ndani anakuwa km amenuna vile.


Huuuuuuuu yani kuna mambo yanachosha kweli.
Polee hawa shemeji sijui mawifi kwa issue kama hii huwa na maneno maneno sana
 
So dangerous and painful.... Maamuzi yangu ni kwamva naweza ondoka niwapishe

MTU mpaka arudi nyuma INA maana wewe ndio uliiingilia penzi la watu.
Hupaswi kuondka dear, ukateseke na wanao kisa nn, achovye tuuuu akimaliza atarudi
 
Vipi kama mkikubaliana kabla akaja kukiuka makubaliano baada ya ndoa? Mfano mlikubaliana mtoto alelewe na mama yake, then baada ya ndoa jamaa anataka kumleta mwanae? Au mlikubaliana kwamba mawasiliano yote yapitie kwako, mara baada ya ndoa unakuta siyo tu wanawasiliana kwa kificho bali hukutana mara kwa mara na kula bata!?
Kitaeleleweka hapo hapo ntamng'oa mtu meno bila ganzi hapana chezea asali yngu hahhahahaaaa
 
Ni kweli usemayo,kikubwa ni kuomba Mungu tu! I see nimejisikia kulia nimekumbuka kila kitu kilichonitokea miaka 12 nyuma kwa dakika chache tu nimejiona nilivyokondeana wakati huo Ooh Allah !!
Pole sana story yako ilikuwaje madam.
 
Back
Top Bottom