Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

That's very understandable, hao sio your mere exs, ni wazazi wenzenu and no matter what wataendelea kuwa kwenye maisha yenu. Hata akiumwa /akiwa na tatizo lazima inacatch your attention. Huko kwenye kuonana wanapowahitaji na kutoa ushirikiano, have a limit please, kwa sababu hapo ndo kunapozaa changamoto nyingi zinazojadiliwa hapa. Kama mliona mmeshindwana basi kila mtu amove on, sio ndo mnatumia mtoto as excuse ya kupashana viporo na kuongeza watoto wengine. Au mmoja anatumia excuse ya mtoto kutaka kuvuruga ndoa ya mwenzake.

Sio kila anachodemand kitimizwe tu kwa sababu mna mtoto or sijui mtoto wangu atanionaje maana wengine wana demands hata hazihusiani na mtoto. Una mahusiano mengine na unaona demand ya mzazi mwenzio inaweza kuhatarisha mahusiano yako mapya au tu sio demand ya msingi, just don't it. Nafikiri cha msingi ni kuweka tu a clear line, kuwa hapa tunalea tu so tuwekeane tu mazingira mazuri ya kumlea mtoto. Tusiwekeane mitego au vikwazo
Very true. Sio poa kuwaumiza wapenzi wetu wapya wakati nao hatujawapata kirahisi rahisi. Na hawa wanawake hawachelewi kututegeshea tena just to make our lives more miserable than it already is. Mtuombeage
 
Ni changamoto. Ila hakuna kinachoshindikana. Everybody wants a successfull marriage so they will do anything they can to keep it so. Huna haja ya kuogopa sana
Nadhani woga mwingine unasababishwa na ile hali ya, hivi miaka yote nimejitunza na sifikirii kumsaliti mume wangu kwa sababu yoyote ile, so do I deserve to be mistreated in that way? Kwamba awe anahang na mzazi mwenzie mie niko jikoni napika na kupakua hahahahha...., by the way, asante...umenipa moyo kuwa kuna some wanaoweza kuzithamini ndoa zao.
 
Nakusubiri [emoji85] [emoji85]
Kuishi na Mwenza mwenye mtoto inahitaji akili sana lakini haihitaji hasira maana ukiwa na hasira za haraka haraka utajikuta moyo wako unaujaza chuki kiasi ambacho unaweza kufanya jambo la hatari sana kuhayarisha hata uhai wa mtoto uliyemkuta, binafsi yangu mwenza wangu nilimkuta ana mtoto aliyemzaa wilayani kwao wakati yungali chuoni (mwaka wa kwanza) na Mimi pia nina mtoto niliyemzaa wakati ambao alikua tayari ameshanichumbia,ni story ndefu sana na ndio maana nitakaa maisha yangu yoote nikimnyenyekea huyu baba,sitakuja kumtesa wala kumchukia mwanae maana amenilelea mwanangu tangu ningali na mimba ya miezi mi 3 mpaka Leo hii ana Miaka 12 kidato cha kwanza, kiufupi sisi ni watu tuliokua tukifahamiana (nilimfahamu mume wangu kupitia Mpenzi wangu Kasim R.I.P babaa am always miss you) ni watu waliokua wakifanyakazi kwenye kampuni zenye ushirika wa kibiashara,
Kikubwa ukiona unaishi na mwenza mwenye mtoto jaribu kadri uwezavyo ewe mwanamke uyachukue majukumu ya mama wa mtoto uyafanye yako na kama ni mwanaume uyachukue majukumu ya baba wa mtoto yawe yako,kinyume chake ukiruhusu ukaribu wa mumeo na mama wa mtoto kuna hatari kubwa ya wawili hawa kukumbushia enzi (japo si wote ila tamaa ina nguvu kuliko imani)
 
That's very understandable, hao sio your mere exs, ni wazazi wenzenu and no matter what wataendelea kuwa kwenye maisha yenu. Hata akiumwa /akiwa na tatizo lazima inacatch your attention. Huko kwenye kuonana wanapowahitaji na kutoa ushirikiano, have a limit please, kwa sababu hapo ndo kunapozaa changamoto nyingi zinazojadiliwa hapa. Kama mliona mmeshindwana basi kila mtu amove on, sio ndo mnatumia mtoto as excuse ya kupashana viporo na kuongeza watoto wengine. Au mmoja anatumia excuse ya mtoto kutaka kuvuruga ndoa ya mwenzake.

Sio kila anachodemand kitimizwe tu kwa sababu mna mtoto or sijui mtoto wangu atanionaje maana wengine wana demands hata hazihusiani na mtoto. Una mahusiano mengine na unaona demand ya mzazi mwenzio inaweza kuhatarisha mahusiano yako mapya au tu sio demand ya msingi, just don't it. Nafikiri cha msingi ni kuweka tu a clear line, kuwa hapa tunalea tu so tuwekeane tu mazingira mazuri ya kumlea mtoto. Tusiwekeane mitego au vikwazo
Well said!
 
Nadhani woga mwingine unasababishwa na ile hali ya, hivi miaka yote nimejitunza na sifikirii kumsaliti mume wangu kwa sababu yoyote ile, so do I deserve to be mistreated in that way? Kwamba awe anahang na mzazi mwenzie mie niko jikoni napika na kupakua hahahahha...., by the way, asante...umenipa moyo kuwa kuna some wanaoweza kuzithamini ndoa zao.
Kama ni muumini, sali and have faith. Mambo yote mazuri yanakuja kwa imani, in my view and faith.
Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka, wewe sio mwanamke wa hivi hivi. Uko civilized and may be, humble. Hiyo inaongeza chances zako za kukutana na mtu anayefanana na wewe. So, again, don't worry.
 
Kuishi na Mwenza mwenye mtoto inahitaji akili sana lakini haihitaji hasira maana ukiwa na hasira za haraka haraka utajikuta moyo wako unaujaza chuki kiasi ambacho unaweza kufanya jambo la hatari sana kuhayarisha hata uhai wa mtoto uliyemkuta, binafsi yangu mwenza wangu nilimkuta ana mtoto aliyemzaa wilayani kwao wakati yungali chuoni (mwaka wa kwanza) na Mimi pia nina mtoto niliyemzaa wakati ambao alikua tayari ameshanichumbia,ni story ndefu sana na ndio maana nitakaa maisha yangu yoote nikimnyenyekea huyu baba,sitakuja kumtesa wala kumchukia mwanae maana amenilelea mwanangu tangu ningali na mimba ya miezi mi 3 mpaka Leo hii ana Miaka 12 kidato cha kwanza, kiufupi sisi ni watu tuliokua tukifahamiana (nilimfahamu mume wangu kupitia Mpenzi wangu Kasim R.I.P babaa am always miss you) ni watu waliokua wakifanyakazi kwenye kampuni zenye ushirika wa kibiashara,
Kikubwa ukiona unaishi na mwenza mwenye mtoto jaribu kadri uwezavyo ewe mwanamke uyachukue majukumu ya mama wa mtoto uyafanye yako na kama ni mwanaume uyachukue majukumu ya baba wa mtoto yawe yako,kinyume chake ukiruhusu ukaribu wa mumeo na mama wa mtoto kuna hatari kubwa ya wawili hawa kukumbushia enzi (japo si wote ila tamaa ina nguvu kuliko imani)

Ooops nakumbuka story yako kipenzi, aendelee kupumzika kwa amani mpendwa wetu Kassim. Na mumeo mshikilie tu shoga angu, na Mungu awaepushe na kuwashindia dhidi ya maadui wenu

Ujue mtu kuzaa before ndoa doesn't make him any less of a dream man/woman. Ndo maana wapo walioa/kuolewa na wenye watoto na atakwambia mke/mume wangu is the best thing ever happended to me. No wonder wapo ambao walichepuka hata ndoani wakazaa nje lakini walitambua makosa yao, wakarudi kundini. Na hata mke anakwambia kabisa I can't leave him kwa sababu amekosea, anajua the +ve side ya mumewe + ni mtu ambaye amekiri kosa lake na kulijutia na anajitahidi kutokuanguka alipoangukia before. (Don't cheat at all though, unaweza kuvunja ambavyo havitounganika tena). Kinacholeta changamoto kubwa ni hizi complications zinazoambatana na huyo mtoto.

1 . Baba mzazi anaweza kuwa changamoto, always ataside na mtoto hata kama amekosea. Wengine wana watoto ila mke uhusishwi hata siku moja na issue za watoto wake+ kupasha viporo huko. Mwisho wa siku hasira za mke zitaishia kwa mtoto as you said
2. Mama wa kambo mwenye roho mbaya, mtoto atateswa tu hata kama akiwa malaika
3. Mama mzazi wa mtoto. Kama hajakubaliana kuwa lililotokea lilikuwa tu kosa, inabidi amove on; basi jiandae kwa hekaheka na ukilegea utakimbia ndoa
4. Mtoto kuwa kichomi. Mara nyingi mtoto hawezi kuwa kichomi sana as long as wazazi wake hawampi support ya kuwa kichomi
5. Ndugu na majirani ambao muda wote watakijudge kila unachomfanyia huyo mtoto.

Ila ukipata mwanaume mwenye msimamo, na mama mtoto umpate mwenye ufahamu amemove on kweli, mtoto utamlea kwa amani tu, japo changamoto hazikosekani kama tu utakavyomlea mwanao. Ila upate mume legelege na baby momma anayemuona mumeo kama ndo last resort /destiny yake; mtoto awe kwake au awe kwako, mpendwa utatoa machozi. Otherwise haitokuwa changamoto sana kama wazazi wenza wamemove on na maisha yao na wanashirikiana tu kwenye malezi. So far step children sio the only changamoto kwenye ndoa, ila ndo ikiwa chronic changamoto mmh. All in all, neema ya Mungu yatosha
 
Very true. Sio poa kuwaumiza wapenzi wetu wapya wakati nao hatujawapata kirahisi rahisi. Na hawa wanawake hawachelewi kututegeshea tena just to make our lives more miserable than it already is. Mtuombeage
Kuombewa alone haitoshi, jiombeeni na muepuke hayo maeneo hatarishi. Mna chochote cha kudiscuss or kufanya, just do it publicly not behind closed doors. Zinaa haikemewi wala kuombewa, inakimbiwa.
 
Ooops nakumbuka story yako kipenzi, aendelee kupumzika kwa amani mpendwa wetu Kassim. Na mumeo mshikilie tu shoga angu, na Mungu awaepushe na kuwashindia dhidi ya maadui wenu

Ujue mtu kuzaa before ndoa doesn't make him any less of a dream man/woman. Ndo maana wapo walioa/kuolewa na wenye watoto na atakwambia mke/mume wangu is the best thing ever happended to me. No wonder wapo ambao walichepuka hata ndoani wakazaa nje lakini walitambua makosa yao, wakarudi kundini. Na hata mke anakwambia kabisa I can't leave him kwa sababu amekosea, anajua the +ve side ya mumewe + ni mtu ambaye amekiri kosa lake na kulijutia na anajitahidi kutokuanguka alipoangukia before. (Don't cheat at all though, unaweza kuvunja ambavyo havitounganika tena). Kinacholeta changamoto kubwa ni hizi complications zinazoambatana na huyo mtoto.

1 . Baba mzazi anaweza kuwa changamoto, always ataside na mtoto hata kama amekosea. Wengine wana watoto ila mke uhusishwi hata siku moja na issue za watoto wake+ kupasha viporo huko. Mwisho wa siku hasira za mke zitaishia kwa mtoto as you said
2. Mama wa kambo mwenye roho mbaya, mtoto atateswa tu hata kama akiwa malaika
3. Mama mzazi wa mtoto. Kama hajakubaliana kuwa lililotokea lilikuwa tu kosa, inabidi amove on; basi jiandae kwa hekaheka na ukilegea utakimbia ndoa
4. Mtoto kuwa kichomi. Mara nyingi mtoto hawezi kuwa kichomi sana as long as wazazi wake hawampi support ya kuwa kichomi
5. Ndugu na majirani ambao muda wote watakijudge kila unachomfanyia huyo mtoto.

Ila ukipata mwanaume mwenye msimamo, na mama mtoto umpate mwenye ufahamu amemove on kweli, mtoto utamlea kwa amani tu, japo changamoto hazikosekani kama tu utakavyomlea mwanao. Ila upate mume legelege na baby momma anayemuona mumeo kama ndo last resort /destiny yake; mtoto awe kwake au awe kwako, mpendwa utatoa machozi. Otherwise haitokuwa changamoto sana kama wazazi wenza wamemove on na maisha yao na wanashirikiana tu kwenye malezi. So far step children sio the only changamoto kwenye ndoa, ila ndo ikiwa chronic changamoto mmh.
Ni kweli usemayo,kikubwa ni kuomba Mungu tu! I see nimejisikia kulia nimekumbuka kila kitu kilichonitokea miaka 12 nyuma kwa dakika chache tu nimejiona nilivyokondeana wakati huo Ooh Allah !!
 
Jamani kiuno wangu.... Yes, just cry, I understand you. Ila ukimaliza, mshukuru Mungu kwa yote.
 
Kuombewa alone haitoshi, jiombeeni na muepuke hayo maeneo hatarishi. Mna chochote cha kudiscuss or kufanya, just do it publicly not behind closed doors. Zinaa haikemewi wala kuombewa, inakimbiwa.
Kubwa kuliko yote, tunajifunza maisha kadiri siku zinavyoenda. It was cool to do nasty shit kila tulipokutana back then, ila sasa things aint what they used to be anymore. Last week was another proof kuwa mambo yamebadilika. Na pengine yatabadilika zaidi.
 
Good for you then, and best of luck. Kosa sio kosa ila kurudia kosa.
 
Mimi nina mtt lkn sitooa mwanamke mwenye mtt ili nipunguze challenges kwny ndoa yangu
 
Hawa wanawake tuliowazalisha, they will always have a spot in our hearts. Sometimes kuwazuia wanapotuhitaji ni ngumu na sometimes tunatoa ushirikiano ili tusisemwe vibaya kwa watoto wetu.
Exactly
 
Mimi nina mtt lkn sitooa mwanamke mwenye mtt ili nipunguze challenges kwny ndoa yangu
Mwenye mtt mwoe pale ambapo mzazi mwenzie kafariki, au wamegombana vizuri na hakumhudumia huyo mtt tangu awali hadi mda huo, au mama mwenye mtt aliwahi bakwa enzi hizo afu mimba ikapatikana na hamjui huyo mbakaji kabisa.
 
Heaven kama Siku serikali ikafanya DNA test kila familia ndoa nyingi zitakufa kifo cha mende aisee
Ilishafanya uchunguzi kwa kesi za ndoa zilizoko mahakamani 2013. Taarifa ya mkemia mkuu wa serikali inasema, ndoa asilimia 60 nchini wanaume hubambikiwa watt wasio wao bila kujua. Mtt wanaozaliwa wa kwanza, au wa 3 na wa mwisho ndo hasa waliobambikiwa.
 
Mimi nina mtt lkn sitooa mwanamke mwenye mtt ili nipunguze challenges kwny ndoa yangu
Af mlozaa nje ndo mnaongoza kw kukataa baby mama's wakati wenu mlozaa nao tu wamewashinda....
 
Nimeanzisha mahusiano na single mother tena yenye future mbele mi ninachokifanya kwanza sitaki kumjua baba wa huyo mtoto wala mawasiliano yao mi nadeal na huyu Msichana tu mambo mengine sina mpango nayo na nampenda mtoto wake km ninavyowapenda watoto wengine waliokua karibu yangu
 
Back
Top Bottom