- Thread starter
- #21
Inategemea nini mkuu?
Inategemea
Inategemea
Hana tatizo yeye ni malaika.Kwani mtoto anatatizo gani jamani??
Majibu yapo swali la Msingi kwa nini Ukubali kuzaa na Mtu halafu wewe Ulete Ujuaji wa kujifanya utalea mwenyewe halafu baadae uanze kuwasumbuwa watu kwenye mahusianoHamna swali hapo hata moja ambalo linaweza kujibika kwa majubu ya moja kwa moja bora jua na mvua zenye dalili mara mia ila sio mahusiano hayana dalili wala fomula
Asante mkuu. Ni haki yake kwenda kumsalimu *****.Sijui kwa nini watu wanashindwa kuwa wazi kuwa wana mtoto/watoto ili mkajadiliana kabla ya kufunga ndoa! Pole sana na hongera kwa kuishi na huyo handsome boy. I hope una m-treat vizuri, na kumruhusu akamuone mama yake likizo, right?
Wanafmdai wanahisi watawapoteza wanawake waliowapenda.Sijui kwa nini watu wanashindwa kuwa wazi kuwa wana mtoto/watoto ili mkajadiliana kabla ya kufunga ndoa! Pole sana na hongera kwa kuishi na huyo handsome boy. I hope una m-treat vizuri, na kumruhusu akamuone mama yake likizo, right?
Kwa maana hiyo unamaanisha, mtu anaweza kuolewa na mtu mwenye mtoto na akawa na ndoa yenye furaha na amani?Wanafmdai wanahisi watawapoteza wanawake waliowapenda.
Hata hivyo kwa upande wangu wako sahihi kwani ningejua kabla nisidhubutu kukubali kuanza mahusiano.
At that time nilikuwa bint kigori miaka 21 tu. Pengine ningepata mwenzangu ambae Hajaingia ulimwengu wa uzazi.
UKIONDOA SUALA LA MTOTI NAMSHUKURU MUNGU KUNIKUTANISHA NAE. AMEN
Ni kweli kabisa, ni kweli ulio wazi..Kwa maana hiyo unamaanisha, mtu anaweza kuolewa na mtu mwenye mtoto na akawa na ndoa yenye furaha na amani?
Upo sahihi kabisa...wakutane sehemu kumsalimia mwanae lakn sio kufika nyumbaniMkuu lakini wanaume wengi wanachagua kutuficha badala ya kutueleza ukweli kabla,
Mfano mimi nilifunga ndoa ya kikristo sijui km kuna handsome baby boy out there... Mwanangu akiwa na miezi 7 tumboni niligundua tena kwa kukuta SMS yy bado hakuwa tayari kuniambia.
Nilichukua jukumu la kutoa onyo Kali na kumsamehe na pia tumemchukua kutoka kwa mamaye baada ya kutetereka sana kiafya. Tumeamua kuishi nae jumla.
Changamoto ni kwamba mama yaje anataka *eti aje nyumbani kumuona* msimamo wangu ni kwamba akija kumuona mwanae mahali ninapoishi aondoke nae maana sitapenda kuendelea kumuona machoni pangu..
Samahani km nitakuwa nimemkwaza yeyote kwa maneno yangu.
Again am sorry.
Aiseee....tamu japo ngumu kumesa (in Masai's voice)Ukioa au kuolewa na mke au mume mwenye mtoto nje ya ndoa ujue umechuma hofu, mashaka, wasiwadi, sononeko, simanzi ktk maisha yako yote ya ndoa yako. Pole kwa kupenda boga na ua lake, vumilia.
MwanamkeWewe ni mwanamke au mwanaume?
Changamoto mnooooo. Na victims ni watoto.Haya yote uliyouliza ni changamoto kubwa sana mkishakuwa na watoto nje ya ndoan,ngoja tusubiri wenye uelewa wa mambo haya waje kutujuza.
Hakika.Wanaume tumegeuka kuwa sperm donnors.
Kitu chochote kitakachotokea kina madhara ya moja kwa moja kwa mtoto.Changamoto mnooooo. Na victims ni watoto.
Ha ha ha umenichekesha jibu lakoNyani
Nimekuelewa mno mkuu!Kabla ya yote natangaza interest; Nilikuwa mwingi saana saana na hao watoto nilozalisha waweza anzisha kijiji chao cha ujamaa. Lakini hakuna mtu anayechukia kulea mtoto wa mwingine ka mimi. Usiulize kwa nini kwani sintakujibu.
Sasa nilipokuja kuoa, nilimkuta binti yupo kwao. Kaja tu likizo shule imefungwa nikachukua juu juu hadi kwangu. Msianze ohhh uliponaje hayo siri yangu lakini Mungai hakunipata. Ingelikuwa Ndali leo ningelikuwa Segerea. Usijaribu.
Tangu siku hiyo nilipompata huyu binti, nimedata. Wivu hadi masikioni unaimba kwangu. Ndo maana sitaki kuwajibika na hao wengine kwani mama zao walinizingua. Siwezi ku shea kifua kimoja na mwingine.
Ushauri.
Tuwekane wazi mapemaaaa kabla ya hatua ya kuishi pamoja. Akiisha ingia nyumbani ukamgundua kuwa alikuwa na mtoto, hakika asikudanganye mtu. Uaminifu haupo.
Ukimfunulia mwenzio mapema, wataitana wazazi wenza wajadili hatma ya mtoto. Uamuzi ukiwa kaa na mtoto basi, ni mwisho wa kuja kumwona au kumletea chochote. Atakuwa wangu kabisaaaa. Sitaki jama kumwona aliyemiibia. Kama aking'ang'ania kuwa anamtaka mtoto wake, achukue kabla hujamchukua mwenzi wako na mawasiliano yakatike hata kama ni nyumba ya jirani na hapo kwenu. Kinyume cha hapo ni kuuendeleza uasherati tu. Mavi ya kale hayanuki na kiporo cha moto ni chakula tu