Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Wangu umetumia busara hadi nimefurahi!
Nikuletee zawadi gani bab?
Asante Beb wangu,
nitafutie tenge la Wax.
Ila unajua haya mambo ya dini si ya kuwekeana ligi.
Wangu umetumia busara hadi nimefurahi!
Nikuletee zawadi gani bab?
Kunduchi sehemu gani? Hebu nipe mwongozo. Bajaji yangu ina pancha, haidhuru ntaweka tairi la trekta ilimradi nisikose msibani.
Basi sitaenda msibani leo, nasubiri mpaka ufungue ili tuongozane
Vigezo na mashari kuzingatiwa
Nikatwe nini kiongozi?Alaf babu mpaka siku ukatwe!
Ok ok,twende kazi,wewe unafikiri kwa nini kaburini iwe nyumba ya milele?kama biblia inasema haijulikani siku wala saa,then vipi umeishi 20yrs duniani kisha ukafa na ukizikwa leo alafu kesho ukafufuliwa wapi patatakiwa kuitwa nyumba ya milele?Duniani au kaburini?pls respond asap ili nipate elimu,na kama inawezekana nitwange na andiko.
Hizi baibo mnazosoma mkiwa Guest House hizi......... khaa!Kwanza kabla ya kwenda mbali zaidi naomba nikuulize swali.
Kama unaamini ktk Ufufuo na vipi kuhusu nchi mpya?
Napenda kukutoa wasiwasi mkuu.
Unajua sisi wanadamu tumezoea kukariri vitu.
Najua hapo ukiulizwa ni nini matumizi ya mwiko utajibu ni kupikia wakati umesahau kuwa mwiko huohuo waweza tumika kama kuni.
Ndivyo navyo wewe ulivyokariri kuwa kuna Ufufuo.
Bwana Yesu alimwambia Thoma "niguse ili usadiki kama ni mimi"
nae Thoma aligusa na kusadiki.
Je, wewe ni yupi uliemsadiki kwa kukuonesha Ufufuo?
Na umesema ukiishi miaka 20 then ukafa leo,ukazikwa kesho na kesho kutwa ukafufuliwa wapi patakuwa nyumba ya milele?
Naomba nikuulize swali dogo tu.
Utajisikiaje pale mgeni ajapo nyumbani kwako na kukwambia "Dudu nakuona umejiachia ktk nyumba yako ya milele" wewe ungemjibu vipi?
Kuhusu siku wala saa,wamesema hvo ili wewe mwanadamu upate muda wa kutubu na kusali na si Ufufuo na Uzima.
Maana wanasema "Kesheni ndugu zangu,maana hamjui siku wala saa ya kuja Yesu/Mussa"
Nimeeleweka?
Au niendelee?
Pole sana Ruwaze JR
PUMZIKA KWA AMANI BIBI
Ulisomea VETICAN?Kwanza kabla ya kwenda mbali zaidi naomba nikuulize swali.
Kama unaamini ktk Ufufuo na vipi kuhusu nchi mpya?
Napenda kukutoa wasiwasi mkuu.
Unajua sisi wanadamu tumezoea kukariri vitu.
Najua hapo ukiulizwa ni nini matumizi ya mwiko utajibu ni kupikia wakati umesahau kuwa mwiko huohuo waweza tumika kama kuni.
Ndivyo navyo wewe ulivyokariri kuwa kuna Ufufuo.
Bwana Yesu alimwambia Thoma "niguse ili usadiki kama ni mimi"
nae Thoma aligusa na kusadiki.
Je, wewe ni yupi uliemsadiki kwa kukuonesha Ufufuo?
Na umesema ukiishi miaka 20 then ukafa leo,ukazikwa kesho na kesho kutwa ukafufuliwa wapi patakuwa nyumba ya milele?
Naomba nikuulize swali dogo tu.
Utajisikiaje pale mgeni ajapo nyumbani kwako na kukwambia "Dudu nakuona umejiachia ktk nyumba yako ya milele" wewe ungemjibu vipi?
Kuhusu siku wala saa,wamesema hvo ili wewe mwanadamu upate muda wa kutubu na kusali na si Ufufuo na Uzima.
Maana wanasema "Kesheni ndugu zangu,maana hamjui siku wala saa ya kuja Yesu/Mussa"
Nimeeleweka?
Au niendelee?
Poleni sana.
Ila kusema 'bado tulikuwa tunamhitaji' ni kumuonea, ameishi miaka ya kutosha. Mnatakiwa mumsherehekee, sio kuhuzunika.
Mungu awabariki