Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,403
- 920
- Thread starter
- #41
Pole sana mkuu Ruhazwe JR. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi.
amen! Mr Rocky ahsante sana
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu Ruhazwe JR. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi.
Kumbe nini?
Kabebe wakezo mje Kunduchi msibani.
Basi sitaenda msibani leo, nasubiri mpaka ufungue ili tuongozane
Vigezo na mashari kuzingatiwa
Nilisha kwambia huyu babu si wamchezo kaa nae mbali
Asante Beb wangu,
nitafutie tenge la Wax.
Ila unajua haya mambo ya dini si ya kuwekeana ligi.
Ulisomea VETICAN?
Bachelor Of Religion in Satanic Verses?
Haya.
Tutaenda msibani kunduchi vilevile ukamuone mume mwenzio wa zamani?
mmm! We naye kwa Ma-beb haujambo aise
Haya.
Tutaenda msibani kunduchi vilevile ukamuone mume mwenzio wa zamani?
Na bado naendelea kukua,
mpaka wanenu nitawabeba.
Kaeni chonjo.