mwenzenu nimefiwa na bibi

Hapo tena wangu pakuuliza!
Kweli alikuwa kipofu kukuacha na atajuta! Ana shangaa mtoto unapendeza tu ye ajui!

Tena nakuomba utafute ile suti kijambakoti,
na mchongoko chini ili Ruhazwe JR aone kuwa yeye alikisema cha nini.
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi eti msiba wapi? Madame B ananizengua tu hapa.

Unavyouliza utadhani utatia mguu wako.
Nimekwambia uko Kunduchi-Mtongani.
Usije na shuka,matanga hakuna,
wala usije na ndizi hakuna ubwabwa, ni full uji na tende kama kawa.
 
Last edited by a moderator:
Hapa man philosophy and Religion imetulia

Kwanza kabla ya kwenda mbali zaidi naomba nikuulize swali.
Kama unaamini ktk Ufufuo na vipi kuhusu nchi mpya?
Napenda kukutoa wasiwasi mkuu.
Unajua sisi wanadamu tumezoea kukariri vitu.
Najua hapo ukiulizwa ni nini matumizi ya mwiko utajibu ni kupikia wakati umesahau kuwa mwiko huohuo waweza tumika kama kuni.
Ndivyo navyo wewe ulivyokariri kuwa kuna Ufufuo.
Bwana Yesu alimwambia Thoma "niguse ili usadiki kama ni mimi"
nae Thoma aligusa na kusadiki.

Je, wewe ni yupi uliemsadiki kwa kukuonesha Ufufuo?

Na umesema ukiishi miaka 20 then ukafa leo,ukazikwa kesho na kesho kutwa ukafufuliwa wapi patakuwa nyumba ya milele?
Naomba nikuulize swali dogo tu.
Utajisikiaje pale mgeni ajapo nyumbani kwako na kukwambia "Dudu nakuona umejiachia ktk nyumba yako ya milele" wewe ungemjibu vipi?

Kuhusu siku wala saa,wamesema hvo ili wewe mwanadamu upate muda wa kutubu na kusali na si Ufufuo na Uzima.
Maana wanasema "Kesheni ndugu zangu,maana hamjui siku wala saa ya kuja Yesu/Mussa"
Nimeeleweka?
Au niendelee?
 
msiba huko mkoan kagera
Nashukuru kwa taarifa mkuu, na pole sana kwa msiba. Hebu kisome hiki kmbaumbau Madame B kinavyompotosha babu hapa chini. Nlikuwa nshafika Africana, ngoja nigeuze zangu nikakazie swaumu maeneo ya Sinza.

Unavyouliza utadhani utatia mguu wako.
Nimekwambia uko Kunduchi-Mtongani.
Usije na shuka,matanga hakuna,
wala usije na ndizi hakuna ubwabwa, ni full uji na tende kama kawa.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa taarifa mkuu, na pole sana kwa msiba. Hebu kisome hiki kmbaumbau Madame B kinavyompotosha babu hapa chini. Nlikuwa nshafika Africana, ngoja nigeuze zangu nikakazie swaumu maeneo ya Sinza.


Africana wapi wakati nimekupita hapo Family Bar unakunywa mtori?
Acha fiksi Babu.
We mkubwa ujue.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom