mwenzenu nimefiwa na bibi

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Nasikitika kuwataarifu wana cc kuwa Bibi yangu kizaa Baba amefariki leo.Bibi ambaye alikua na umri mkubwa unaotazamiwa takribani mwiaka ipatayo 80 amefariki kwa uzee katika kipindi ambacho bado tunamuitaji,ilikua ni kawaida yake kwa kila tuendapo likizo alipenda kutuambia kuwa "nadhani hamta nikuta".Sisi tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi.R.I.P BIBI YANGU KIPENZI.
 
Bibi apumzike kwa amani , their 's no dialogue kwamba sisi wote ni wa Mungu na marejeo yetu ni kwake!
 
Aiseee baba yangu roho ya marehemu ipumzike kwa amani

jina la bwana liabudiwe
 
Pole sana jaman.. Mungu atawajaalia wepesi katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana X-husband.
Mungu atawajalia na mtampumzisha salama ktk nyumba yake ya milele.

R.I.P bibi yake Ruhazwe.
 
Nasikitika kuwataarifu wana cc kuwa Bibi yangu kizaa Baba amefariki leo.Bibi ambaye alikua na umri mkubwa unaotazamiwa takribani mwiaka ipatayo 80 amefariki kwa uzee katika kipindi ambacho bado tunamuitaji,ilikua ni kawaida yake kwa kila tuendapo likizo alipenda kutuambia kuwa "nadhani hamta nikuta".Sisi tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi.R.I.P BIBI YANGU KIPENZI.

R.I.p Bibi
 
Poleni sana.
Ila kusema 'bado tulikuwa tunamhitaji' ni kumuonea, ameishi miaka ya kutosha. Mnatakiwa mumsherehekee, sio kuhuzunika.
Mungu awabariki
 
pole sana kamanda......miaka 80 ilikuwa bado sana.....lakini Mungu amempenda zaidi.....R.I.P bibi....
 
Nani kakudanganya kaburi ni nyumba ya milele?we hujasikia kwamba kuna ufufuo?anyway RIP bibi yetu.

Kila mtu anao uhuru wa kuamini ktk imani yake.
Nawe unaruhusiwa kuamini ktk imani yako.
Imani yangu mimi isikuzuie kuamini imani yako mkuu.
Ufufuo ni matokeo.
Kwani hata hao waliondika ktk Biblia kuwa kuna ufufuo ni Binadamu wenye nyama na mioyo kama sisi.
Japo wana utashi na wakisadikicho na kile wanachokiamini ndicho hicho wanachokiandika ili nawe ukiamini.

Kaburi litabaki kuwa nyumba ya milele kwa sababu ukiishi ktk nyumba yako duniani ukiwa hai,nyumba nyingine utakayoishi ukiwa mfu ni kaburi.

Na hutaishi mahala pengine popote.
Ufufuo ni matokeo baada ya hayo yote.
 
Ok ok,twende kazi,wewe unafikiri kwa nini kaburini iwe nyumba ya milele?kama biblia inasema haijulikani siku wala saa,then vipi umeishi 20yrs duniani kisha ukafa na ukizikwa leo alafu kesho ukafufuliwa wapi patatakiwa kuitwa nyumba ya milele?Duniani au kaburini?pls respond asap ili nipate elimu,na kama inawezekana nitwange na andiko.
 
Wangu umetumia busara hadi nimefurahi!
Nikuletee zawadi gani bab?

Kila mtu anao uhuru wa kuamini ktk imani yake.
Nawe unaruhusiwa kuamini ktk imani yako.
Imani yangu mimi isikuzuie kuamini imani yako mkuu.
Ufufuo ni matokeo.
Kwani hata hao waliondika ktk Biblia kuwa kuna ufufuo ni Binadamu wenye nyama na mioyo kama sisi.
Japo wana utashi na wakisadikicho na kile wanachokiamini ndicho hicho wanachokiandika ili nawe ukiamini.

Kaburi litabaki kuwa nyumba ya milele kwa sababu ukiishi ktk nyumba yako duniani ukiwa hai,nyumba nyingine utakayoishi ukiwa mfu ni kaburi.

Na hutaishi mahala pengine popote.
Ufufuo ni matokeo baada ya hayo yote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom