Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

Yaani kujitoa CCM unaenda kutangazia hotelin, unalipia conference pamoja na refreshment. huyu bora ameondoka mapema haendani na kasi ya Magufuli. Magufuli kafanya mkutano mkubwa na wafanyabiashara wakubwa hapa nchini kafanyia ikulu. aende tu huko kwa mafisadi wenzie
Kwani Lipumba na Slaa simliwalipia gharama zote Serena?
 
Kaskazini kiongozi wa mwisho alikuwa lowassa kuanzia awamu ya tano mtaishia uwaziri wa mifugo tu
Mkuu kama una akili wenzio CCM wanajua sasa kuwa halmashauri ndizo zenye uwezo wa kuwahudumia watu na si uwaziri subiri matokeo June 30 2016
 
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania CCM Arusha (Vicky Mollel) ajiunga Chadema Leo Katika ukumbi wa Safari Hotel, hii inafanya CCM Arusha kubaki ofisi tu na wanaowanunuanua..

Ila ukidadisi kwa makini na ukaondoa woga na hofu kuusema ukweli, mafisadi wengi waliotesa nchi hii ,na ambao ni majipu ya sasa, wanatoka kasikazini. So sioni mantiki ya kumshambulia aliyesema Rais wa nchi hii hawezi kutoka kasikazini alikuwa ana maana kubwa sana. 'Tuvete subira, muda utaudhihirisha ukweli' wa kauli yake kama kweli aliropoka au alitoa kauli aliyoitafakari kwanza na kuifanyia utafiti.
 
Si ndio mtindo wenyewe...mbona wengine wa cdm walijitoa uanachama, kushusha bendera za chama, na kurudisha kadi...
 
Kuhamia Chadema sasa hivi kabugi vibaya sana hata hivyo.
 
Hapo kwa majizi sijakupata vizuri mbona kama tumesha wakaribisha....
Huku chamani

Huku kwetu hatuna tafsiri hiyo hiyo mnayoijua nyie kuhusu mwizi/majizi.

Huku kwetu ukiingia nyumbani na fuko la hela, alafu familia wakauliza umepata wapi....upo huru kabisa kujieleza " kuna ---- ametoka benki...akajipendekesa...nikampa kitu..chini....Masawe alikuwa standby akaondoa Boxer kama jeti.
 
Khaa!! Hivi bado kuna watu wanawaza ucdm na uccm? 😎 . Mbona nchi inaweza kwenda bila waziri wala mbunge :mvutaji:
 
hana madhara tofauti ya kula ni mil 2+! afu walo rudi in wengi sana, yaani saizi MTU anatoka Ccm labda Kwa maslai binafsi ila kama ya tz atamsapoti JPM! lakin ni mollel sishangai
 
Bado wengi wenye majipu, waliotumbuliwa na watakaotumbuliwa wanakuja huko kutafuta faraja. Hapa ni kazi tu.
 
Ila ukidadisi kwa makini na ukaondoa woga na hofu kuusema ukweli, mafisadi wengi waliotesa nchi hii ,na ambao ni majipu ya sasa, wanatoka kasikazini. So sioni mantiki ya kumshambulia aliyesema Rais wa nchi hii hawezi kutoka kasikazini alikuwa ana maana kubwa sana. 'Tuvete subira, muda utaudhihirisha ukweli' wa kauli yake kama kweli aliropoka au alitoa kauli aliyoitafakari kwanza na kuifanyia utafiti.

Hebu soma list iliyotolewa leo ya waliofisadi makontena!
 
huyo atakuwa ameshtuka kuwa ameshaagundulika kuwa ni double agent ndio maana amekimbia mapema
 
Ni kweli bado tunamlilia kamanda Mawazo. Pumzika kwa amani kamanda
 
Back
Top Bottom