Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

Haaaahh kumbe ni yale yale majina yetu?? Haina shida

mnazidi kupanua wigo tu ili kuwa ya wachaga ikawa ya wakatoliki, Mara wambulu, wairaq, wamasai Mara kaskazini..taratibu mtatukubali
 
Nilishangaa sana eti mpaka leo hajaondoka wakati bwana wake hayupo tena ccm.
 
Kapiii kapilee
 
Attachments

  • 1449418535485.jpg
    1449418535485.jpg
    43.2 KB · Views: 157
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania CCM Arusha (Vicky Mollel) ajiunga Chadema Leo Katika ukumbi wa Safari Hotel, hii inafanya CCM Arusha kubaki ofisi tu na wanaowanunuanua..

Kasi ya magufuli itawakimbiza wengi sana,ni heri kajiondokea mwenyewe
 
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania CCM Arusha (Vicky Mollel) ajiunga Chadema Leo Katika ukumbi wa Safari Hotel, hii inafanya CCM Arusha kubaki ofisi tu na wanaowanunuanua..

Huyu ni masalia ya Lowassa na tayari alikwishasimamishwa kutoshiriki kampeni za mbunge kwa sababu ya kufanya kampeni za siri kumhujumu mgombea wa CCM. Huyu Vicky Mollel ni mmoja wa vibaraka wakubwa wa Lowassa, aende huko na usishangae akapewa udiwani wa viti maalum manake huko hivyo vyeo vinatolewa kwa mashosti,mahawara n.k.na sifa nyingine za huyu mama ni kumtelekeza mumewe na kujirusha na vijana wadogo na mmojawapo ya vijana waliopita naye ni mtu wangu wa karibu
 
uongo mwingine bana.ulimshikia miguu?maccm ni.shida
 
Huyu ni masalia ya Lowassa na tayari alikwishasimamishwa kutoshiriki kampeni za mbunge kwa sababu ya kufanya kampeni za siri kumhujumu mgombea wa CCM. Huyu Vicky Mollel ni mmoja wa vibaraka wakubwa wa Lowassa, aende huko na usishangae akapewa udiwani wa viti maalum manake huko hivyo vyeo vinatolewa kwa mashosti,mahawara n.k.na sifa nyingine za huyu mama ni kumtelekeza mumewe na kujirusha na vijana wadogo na mmojawapo ya vijana waliopita naye ni mtu wangu wa karibu

nasikia Mme mwenyewe ni wewe, pole kwa kutelekezwa...
 
Amefuaata maagizo ya magufuli, yakua yako tayari kubaki na wanachama watano waliokua safi kuliko kua na wanachama wengi ambao ni wanafiki na wanategemea chama kuwalee na bado kwa kasi hii ya jamaa wengi wataondoka maana masilahi yao hayako tena.
 
khaa!! rinaitwa vicky moreli. ririkuwa mpaka reo rina subiri nini? wenzake waliisha sepa. riende tu riende tu, riondowe uvundo wake ccm arusha.
 
Habari mpya ilikuwa ni ile ya Lowassa kwenda Chadema. Baada ya hapo sijasikia nyingine!
 
Kwanza hili dude lilishafukuzwa kitambo ccm wewe eti unasema limehama.
 
Back
Top Bottom