Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

Anayedharau ni sawa na mgonjwa ambaye hajui ugonjwa naougua na mda mfupi tu utamuua, ccm bado iko ICU ila wanufaika na mashabiki wamefunga vitambaa usoni na kuziba masikio, ili kuikomboa ni lazima ijitenge na serekali, na Magufuli apeleke mikataba ya madini,mafuta na gesi, ajira na kazi, pamoja na kodi kwenye kamati za bunge ili kujenga taasisi imara ambazo hazifungamani na ccm, hii itaikoa ccm na magufuli. na hii si rahisi kwao kufanya kwani wenye chama wanapigia pesa hapo.kiongozi mwenye maono ya kujenga Taifa imara kiuchumi,kisiasa na kijamii avunje maslahi ya viongozi wa chama na familia zao ili nchi iokoke bila hivyo ni ngojera na maigizo tu tutashuhudia.
 
Na bado, mtaondoka tu na hii safisha safisha.

Mjipange tu kujibu zile mali mlizojilimbikizia mlipataje, msifikiri kwa kukimbilia huko kunakonunuliwa watu ndiyo hamtaulizwa.
 
Kwa iyo bado kuna haja ya kampeni za ubunge? Au tuiombe tume imtangaze Lema mbunge maana hamna namna!!
 
Yaani kujitoa CCM unaenda kutangazia hotelin, unalipia conference pamoja na refreshment. huyu bora ameondoka mapema haendani na kasi ya Magufuli. Magufuli kafanya mkutano mkubwa na wafanyabiashara wakubwa hapa nchini kafanyia ikulu. aende tu huko kwa mafisadi wenzie
 
Mimi mwenyewe nina mpango wa kuhama chadema nakuhamia ccm rais nilie kuwa namtaka nikama magufuli bado mwezi mmoja mwingine nihakikishe kasi yake hapa kazi tu
 
Na bado, mtaondoka tu na hii safisha safisha.

Mjipange tu kujibu zile mali mlizojilimbikizia mlipataje, msifikiri kwa kukimbilia huko kunakununuliwa watu ndiyo hamtaulizwa.

Nailed biashara ya madawa ya kulevya nani apiwapa kibali...hasa yule mtoto wa mfalme
 
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania CCM Arusha (Vicky Mollel) ajiunga Chadema Leo Katika ukumbi wa Safari Hotel, hii inafanya CCM Arusha kubaki ofisi tu na wanaowanunuanua..

Na milingoti ya bendera zao
 
Mimi mwenyewe nina mpango wa kuhama chadema nakuhamia ccm rais nilie kuwa namtaka nikama magufuli bado mwezi mmoja mwingine nihakikishe kasi yake hapa kazi tu

senema hizo...mwambie apitie mikataba ya madini na zilenyumba alizouza...
 
Ameogopa kufukuzwa naona kajitoa mwenyew, afadhali magamba yanajivua yenyewe
 
Opesheni TOROKA UJE bado inaendelea wanatakiwa kuja wote Arusha ni ng'ombe ya CHADEMA hatutaki majizi sisi.

Hapo kwa majizi sijakupata vizuri mbona kama tumesha wakaribisha....
Huku chamani
 
Back
Top Bottom