nasikia Mme mwenyewe ni wewe, pole kwa kutelekezwa...
Huyu mama anafahamika kwa Hilo la mwisho nililolisema, nenda Arusha eneo la sokon one anapotokea uulize uone kuwa si majungu. Serengeti boys wamefaidi sana, na kuhusu kufukuzwa ipo barua iliyoandikwa siku za nyuma na katibu wa ccm wilaya ya Arusha kumpiga stop uongozi