Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania CCM Arusha (Vicky Mollel) ajiunga Chadema Leo Katika ukumbi wa Safari Hotel, hii inafanya CCM Arusha kubaki ofisi tu na wanaowanunuanua..

12341107_528191100681814_8267507996137284057_n.jpg
 
Opesheni TOROKA UJE bado inaendelea wanatakiwa kuja wote Arusha ni ng'ombe ya CHADEMA hatutaki majizi sisi.
 
sasa ccm inajivua gamba kweli makapi yanazidi kuondoka mpaka novemba 2017 itabaki ccm safii
 
pia amekabidhibkadi za akina mama 143 za CCM...
 
That is good news in order to strengs opp party in country
 
aje tu kwani kaachana na chadema mabali na kumagufulika bado tuko imar, maana magufuri kaachana na sera za chama chake na kukumbatia sera bora za chadema, heko mbowe na uongozi wako.
 
amesema amechoka kukaa kwenye chama cha wauwaji...
 
Back
Top Bottom