habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Wanatuhadaa tuko digitally wakati kiuhalisia tupo analog, tumechoka na huu ushenzi, majengo makubwa makubwa hakuna LA maana zaidi ya sanaa, poor Tanganyika
sasa ccm inajivua gamba kweli makapi yanazidi kuondoka mpaka novemba 2017 itabaki ccm safii
Uchagani huko kaka. Wala usishangae
Bora ameondoka mwenyewe kabla tingatinga hajamshughulikia
pepleooooooooooooos
Nchi imetiwa kidonda ndugu cha mgawanyiko.
Kauli ya 'Rais wa nchi hawezi kutoka Kaskazini' inageuka saratani soon.
Uchagani huko kaka. Wala usishangae
Hawaridhiki bado na kasi ya bulldozer?
mwache akafie mbele ya safari-wala hiyo sio hbr tena-alihama lowasa sembuse huyo boya.
Kama walitoka Lowasa, Sumaye na Kingunge na bado wakagalagazwa! Huyu ni kitu gani haswa?Angekuwa siyo habari usingemdhihaki
Wee ---- kweli, unataka kusema hizo shule zimejengwa kwenye utawala wa CHADEMA? Mwehu kweli wewe. Yuko kaskazini ukristo ulikuwa juu sana, ndio maana kunamwamko mkubwa wa kielimu nyau wewe. Zaidi ya hapo nguvu ya CHADEMA iko huko tu, why? . Maandamano yote ya CHADEMA hutokea huko. Vurugu kubwa za CHADEMA ni huko. Andazi kweli weweNaona umeanza kuvuja ukabila uko kwenye siku zako nn gamba usie kuwa na hoja jiulize kwa nn shule nyingi na miundombinu iko kilima njaro coz walijitambua mapema acha wivu wa kike jenga hoja
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania CCM Arusha (Vicky Mollel) ajiunga Chadema Leo Katika ukumbi wa Safari Hotel, hii inafanya CCM Arusha kubaki ofisi tu na wanaowanunuanua..
Hebu tumjadili na yule haini aliyedai atahamasisha kaskazini wajitenge na kuanzisha nchi yao!mimi natoka kanda ya ziwa, lkn kauli ya huyu mtoto wa Vasco dagama ipo siku itamtumbuaa
Hebu tumjadili na yule haini aliyedai atahamasisha kaskazini wajitenge na kuanzisha nchi yao!