Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

Wee ---- kweli, unataka kusema hizo shule zimejengwa kwenye utawala wa CHADEMA? Mwehu kweli wewe. Yuko kaskazini ukristo ulikuwa juu sana, ndio maana kunamwamko mkubwa wa kielimu nyau wewe. Zaidi ya hapo nguvu ya CHADEMA iko huko tu, why? . Maandamano yote ya CHADEMA hutokea huko. Vurugu kubwa za CHADEMA ni huko. Andazi kweli wewe

Kweli kuliko huwe vuvuzela nishida sana kwaiyo shule ni zakanisa? Barabara ni zakanisa? Umeme ni wakanisa? Pia tafakari kwa makini poyoyo wewe kujitambua kwa watu ilianzia mbali kuwa na mawazo tofauti pia kasome historia kanisa lakwanza lilijengwa wap ----- ww ndio uje kueleza huo utumbo wako hapa
 
Kwa namna Magufuli alivyoanza kufanya kazi zake napata picha kuwa Upinzani imara unahitajika sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote ule tokea Tanganyika na hatimaye Tanzania kuingia katika mfumo wa vyama vingi.Hii ni kwa sababu:
1.Kutakuwa na wapiga dili wengi watakaojificha katika mwamvuli wa "Hapakazi tu" kujinufaisha wenyewe.
2.Pia wapo wale ambao wataamua kutumia mbinu mbalimbali kukwepa kuwajibishwa na nguvu ya Umma kupitia Magufuli.
3.Kasi aliyoanza nayo Magufuli inaweza ikasababisha uvunjifu wa kanuni na taratibu za kisheria ambazo zinaongoza nchi.
4.Wapo watu ambao wanaweza kuhamisisha uvunjifu wa amani na taratibu sehemu za kazi wakisingizia kauli mbinu ya hapa kazi tu.
 
Mamluki wanaanza kukimbia wenyewe kabla ya panga halijapita. Wengi wataondoka kama JPM alivyosema ni bora mbaki na wana ccm wachache waaminifu kuliko kuwa na wana ccm wengi mamluki. Walokua wanampenyezea EL siri za ccm wanajulikana na wataondoka tu.
 
Opesheni TOROKA UJE bado inaendelea wanatakiwa kuja wote Arusha ni ng'ombe ya CHADEMA hatutaki majizi sisi.

Naona Magu ametoroka kwa vitendo bila sisiem kujua..
 
Rais wakwao sere zakwetu nikuwa na mke watoto wakwetu kweli chadema kiboko
 
Kweli kuliko huwe vuvuzela nishida sana kwaiyo shule ni zakanisa? Barabara ni zakanisa? Umeme ni wakanisa? Pia tafakari kwa makini poyoyo wewe kujitambua kwa watu ilianzia mbali kuwa na mawazo tofauti pia kasome historia kanisa lakwanza lilijengwa wap ----- ww ndio uje kueleza huo utumbo wako hapa
We mpumbavu na lofa, umeongelea shule. We bw.ege huko kaskazini ni mhimili wa maandamano yasiyo na tija. Sasa hata roho ya uchumi wa huko inakufa, utalii umeshuka. Viazi kama wewe mnadhani mnajitambua kumbe hovyo kabisa.
 
Mamluki wanaanza kukimbia wenyewe kabla ya panga halijapita. Wengi wataondoka kama JPM alivyosema ni bora mbaki na wana ccm wachache waaminifu kuliko kuwa na wana ccm wengi mamluki. Walokua wanampenyezea EL siri za ccm wanajulikana na wataondoka tu.

Makufuli ndio mamluki ndio maana serikali ni yake sio ya ccm
 
Magufuli anakuja mbaka huko kutumbua majipu soon mtajua ameanza huku ili iwe rahisi huko ha ha ha ha
 
Arusha na Kilimanjaro wote wahamie Chadema, Tz itasimama imara itetea CCM milele...
 
We mpumbavu na lofa, umeongelea shule. We bw.ege huko kaskazini ni mhimili wa maandamano yasiyo na tija. Sasa hata roho ya uchumi wa huko inakufa, utalii umeshuka. Viazi kama wewe mnadhani mnajitambua kumbe hovyo kabisa.

Ulofa unasababishwa na watu wenye mtindio wa ubongo kama ww kwani ujitambui ndio maana unafuja ukabila udin na ukanda dalili za mkosa hoja.
 
Naona umeanza kuvuja ukabila uko kwenye siku zako nn gamba usie kuwa na hoja jiulize kwa nn shule nyingi na miundombinu iko kilima njaro coz walijitambua mapema acha wivu wa kike jenga hoja

Walijitambua wapi acha uongo hawa watu niwapigaji wakubwa kwenye serikali kama walivyo jazana tra ardhi usitufanye hatujui sasa subili ngoa ngoa inakuja alafu katika mafisadi walio wengi watakuwa wa huko samahani lakini
 
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania CCM Arusha (Vicky Mollel) ajiunga Chadema Leo Katika ukumbi wa Safari Hotel, hii inafanya CCM Arusha kubaki ofisi tu na wanaowanunuanua..

Vick Mollel ni nani? kumbe CCM huwa ina viongozi kama hawa na wanaheshimika, du! Mimi nimejua toka kwako mkuu. Ila yeye aende tu, hana madhara...!! Eenhee kumbe nae imesha isoma namba. Magufuli Safiiiiiiiiiiiiii....!!
 
Walijitambua wapi acha uongo hawa watu niwapigaji wakubwa kwenye serikali kama walivyo jazana tra ardhi usitufanye hatujui sasa subili ngoa ngoa inakuja alafu katika mafisadi walio wengi watakuwa wa huko samahani lakini

Nimtazamo wako kapige na ww kama nirahis elim ndio ilio waweka uko tra sio majungu na wivu wa like kuwa na mawazo ya kubadilika acha wivu
 
Kaskazini kiongozi wa mwisho alikuwa lowassa kuanzia awamu ya tano mtaishia uwaziri wa mifugo tu
 
Alishashtukiwa longtime. mamluki huyo.ahame tu .ajue boss wake tutamshughulikia tu. Tingatinga linakuja.
 
We mpumbavu na lofa, umeongelea shule. We bw.ege huko kaskazini ni mhimili wa maandamano yasiyo na tija. Sasa hata roho ya uchumi wa huko inakufa, utalii umeshuka. Viazi kama wewe mnadhani mnajitambua kumbe hovyo kabisa.
Mbona umeshupaa sana na maandamano? Yepi hayo. Kaskazini kuna maandamano? Lini? Mbona sijasikia? Au umekariri?
 
Back
Top Bottom