Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

Habari ya kijinga kama hii unaileta jf? Who is mollel by the way,! *** you, huu ni muda wa kazi tu, unatuletea ujinga ujinga
 
Huo moto wa magufuli Mpaka tunasahau Kama kuna vyama. Kina mbowe wenyewe wananuna wanaona kabisa msimu huu sio wa kupiga hela mpaka Magu aondoke.acheni kujidanganya na vyama si Ukawa si CCM wote wachumia tumbo jitambueni nyie
 
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania CCM Arusha (Vicky Mollel) ajiunga Chadema Leo Katika ukumbi wa Safari Hotel, hii inafanya CCM Arusha kubaki ofisi tu na wanaowanunuanua..

Mafisadi wote ndani ya ccm washaisoma namba na watakimbia wenyewe......tunangoja wengine maa moto huu wa Pombe hautaniii.....viva Prof Magu....
 
kwanza nampongeza kwa ujasiri wa kutisha aliojaliwa kuwa nao wa kuendelea kubaki ccm hadi leo.
 
Hivi kweli kwa fikra kamili nchi inaweza kukombolewa na kundi la chadema ambalo limeshindwa kugawa wabunge wa viti maalum kwa usawa!!? Hapa tusidanganyane"!
 
Nchi imetiwa kidonda ndugu cha mgawanyiko.

Kauli ya 'Rais wa nchi hawezi kutoka Kaskazini' inageuka saratani soon.
Mkuu naona umepagawa unaropoka hivyo huyo Mwenyekiti wa UWT ana impact gani hata akiondoka CCM.
 
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania CCM Arusha (Vicky Mollel) ajiunga Chadema Leo Katika ukumbi wa Safari Hotel, hii inafanya CCM Arusha kubaki ofisi tu na wanaowanunuanua..
Jina tu Mollel unategemea nini huyu alichelewa kuondoka CCM alikuwa anasubiri viti maalum kakosa ameahamua kurudi kwa ndugu zake Chadema Kaskazini.
 
Mkuu hapo umenena vema. Katiba mpya ya Watanzania ndiyo njia sahihi ya kujenga Tanzania isiyotegemea kikundi kidogo cha watu cha matakwa binafsi. Katiba, katiba, katiba.
 
Hivi kweli kwa fikra kamili nchi inaweza kukombolewa na kundi la chadema ambalo limeshindwa kugawa wabunge wa viti maalum kwa usawa!!? Hapa tusidanganyane"!

kwa utaratibu/ vigezo unavijua...
 
Jina tu Mollel unategemea nini huyu alichelewa kuondoka CCM alikuwa anasubiri viti maalum kakosa ameahamua kurudi kwa ndugu zake Chadema Kaskazini.

kwa hiyo kaskazini hamuwataki...
 
Sanasana kitakachofuata ni wachaga kutengwa najamii nyingine za kitanzania, kuna kitu mnakitengeneza kitawagharimu siku za mbele
 
Back
Top Bottom