Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Naona hili limekuwa janga la kitaifa-sasa kama Mwanahabati anaandika hivi, sisi wengi sijua iko vipi. Ana mpunga mrefu vs Hana mpunga mrefu-sijui kipi ni kipi.Hata wewe Mwanahabari Huru unatumia ha kwenye a?
Awekwa na sio hawekwa!
Huko shule mlienda kusomea ujinga eeh? ref FaizaFoxy
Huu ni u-primitive wa kiwango cha juu sana!!
Hahaa daah!..unajua maana ya usaliti.Wasaliti wa nchi lazima yanyooshwe!
Bashite anavyo vaa 'jeens' za kuchanika chanika humuoni?Kiongozi mvaa Kk3!?
Akili ndogo hata kuku anakuzidiWasaliti wa nchi lazima yanyooshwe!