Wameamia chama gani ilo ndiyo tunataka kufahamu.
Nitawajuza, msihofu
Wameamia chama gani ilo ndiyo tunataka kufahamu.
Makondakta ni nani?Zile Ngonjera zako za Apsoni na Lowasa zimeishia wapi bwana Makondakta?
Mwaka huu watahongana mpaka ndizi ila moto lazima utawawakia tu hata iweje hawana pakutokea.Zile Ngonjera zako za Apsoni na Lowasa zimeishia wapi bwana Makondakta?
Chadema inasikitisha, nguzo yao iliyobaki ni UKAWA tu, na siku wakimkorofisha Lipumba basi wamekwisha!
Chadema inasikitisha, nguzo yao iliyobaki ni UKAWA tu, na siku wakimkorofisha Lipumba basi wamekwisha!
Yani katika wagombea wote hakuna muislam hata mmoja? chadema wabaguzi sana
Habari za leo naomba nijibu hoja za uongo uliozushwa eti mwenyekiti chadema kuhamia ACT si kweli ni uwongo mwenyekiti wetu wa wilaya Arumeru magharibi mh Gibson ndiye mwenyekiti mteule huyo kapi msaka tonge anaitwa sheshe mamluki ccm b waliopandikiza baada ya kugombania uwenyekiti akapata kura 8 mh Gibson akapata kura 113 akaenda ACT shauri ya kukosa cheo hatuwaitaji watu wa hovyo CHADEMA huyo ni mrohoo wa madaraka msaka tonge
Huyo hana mpya CHADEMA ni kazi kazi mamluki stop chadema hii ndiyo tumaini la watanzania hatuna nafasi ya wasaka tonge humu nampa pole huyu limbukeni wa siasa kuwa chadema ni kazi kazi tu huku mamluki stop alikuwa pandikizi alileta makundi ndani ya chama wananchi wakamchinjia baharini msaliti huyo hivi mwana chadema wa ukweli ukose cheo uhamie chama kingine kinaingia akili wadau jamani huyo mi snich r.i.p sheshe kisiasa umepotea kwenye medali ya kisiasa kalime huna mpya chadema ndiyo tumaini la watanzani act ni kikundi cha wasaliti aluta contunua
laki si pesa Chadema ni chama tawala Arusha ACT Arusha sahauni time kama Mama yenu CCM kaula wa chuya nyie mtaweza?Wanachadema wengi sana arusha wamehamia ACT
Sheshe amekuwa habari? Kweli Chadema inawakosesha CCM usingizi hata mwenyekiti wa msingi wa Chadema akihama Chadema anapewa kipaumbele kwenye vyombo vya habari! Sasa Sheshe kashindwa uchaguzi bado wanamwita Mwenyekiti wa Chadema hahahhaaa #Na Bado.Acha upumbavu wewe, huijui chadema, na Arusha huijui wewe..... CHADEMA ipo imara na itaendelea kupambana na mamluki wote na kuwafuta kabisa ndani ya chadema. Mpango wa Sheshe ulijulikana hata kabla ya kuchaguliwa. Tutaendelea kuwafuta ma ccm ndani ya chama chetu.... Sheshe hana uwezo wa kuongoza familia yake, eti anataka kuwa mwenyekiti wa jimbo loh!!
Teh teh teh!Chadema inasikitisha, nguzo yao iliyobaki ni UKAWA tu, na siku wakimkorofisha Lipumba basi wamekwisha!
Yani katika wagombea wote hakuna muislam hata mmoja? chadema wabaguzi sana