Mwenyekiti wa CHADEMA Arumeru Magharibi ahamia ACT

Mwenyekiti wa CHADEMA Arumeru Magharibi ahamia ACT

Tumia vema ubongo uliojaliwa na mwenyezi mungu,nguvu ya chadema iko katika sera ya elimu bure,matibabu bure,kupunguza gharama ya bati na sementi ili wananchi wa kiwango cha chini wajijengee nyumba bora.nguvu ya chadema iko katila kuhakikisha inakusanya kodi zinazotumika kuanzisha miradi ya maendeleo,ukawa ni sehemu tu ya nguvu zake kwa kuwa kama m/ kiti inalojukumu kuonesha njia,nguvu ya chadema ni sera za kilimo,elimu,afya,maji na umeme zilizofeli
Du nawew pia umeaminishwa hivo , unakubali
 
Yani katika wagombea wote hakuna muislam hata mmoja? chadema wabaguzi sana

hao waisilamu Kuna alochukua fomu ikawa rejected???

Acheni uchochezi usiokuwa NA tija mmekosa agenda mmeanza kulamba matapishi... tafuteni viti vya msingi vya kufanya. mkutaka kujipima subirini uchaguzi waone Kwanzaa
 
ACT hao wachovu mi hata siwawazi ni wachovu tuu.

wakitaka kujipima ubavu wasubiri waje kwenye uchaguzi NA kina Mallah tuwaoneshe kazi
 
Nimefuatilia na kugundua kuwa huyo aliyetangazwa kuhamia ACT sio mwenyekiti kama ilivyotangazwa na kituo cha StarTV ninachojiuliza na kushangaa hiki kituo kinafanya kazi kweli kwa kufuata utaalamu au ni kituo cha kutolea habari za UDAKU maana walitakiwa kabla ya kuirusha wawe na uhakika wa taarifa yenyewe.
 
Chadema inasikitisha, nguzo yao iliyobaki ni UKAWA tu, na siku wakimkorofisha Lipumba basi wamekwisha!

Na ccm wakifanikiwa tu kunihonga mimi ambaye ni mwenyekiti wa kanda mbili (magharibi na anga za juu) za CHADEMA utabiri wa Wassira utatimia -japo ilipaswa kuwa mwaka jana!
 
Viongozi wa Chadema Arummeru wameachia ngazi baada kuchoshwa na vitendo vya baadhi ya wagombea wilayani humo kutoa rushwa ya soda na vyakula. Aidha viongozi hao wamelalamikia baadhi ya wagombea kubebwa na viongozi wa kitaifa wa chama hicho kutoka makao makuu.
chanzo cha taarifa hii ni kipindi cha redio cha kutoka magazetini, nitafuatilia ni gazeti gani na majina ya viongozi waliobwaga manyanga nitawawekea hadharani wapendwa.
 
Tulia ulete habari iliyokamilika badala ya kusikilisa habari kutoka magazetini kisha unaanzisha uzi. Na kama ni rusha basi CCM ndiyo balaa kabisa.
 
Radio yenyewe hujataja, wala gazeti hulijui, umeona uwahi kuweka kabla mchumia tumbo mwingine hajaweka ili uingize siku?
Njaa ya siku moja tu bila buku saba unaogwa!
 
Tulia ulete habari iliyokamilika badala ya kusikilisa habari kutoka magazetini kisha unaanzisha uzi. Na kama ni rusha basi CCM ndiyo balaa kabisa.

Mkuu kumbe wewe habari unaipata wapi? Kwa hiyo Chadema wanafuata nyayo za wengine kutoa rushwa?
 
Radio yenyewe hujataja, wala gazeti hulijui, umeona uwahi kuweka kabla mchumia tumbo mwingine hajaweka ili uingize siku?
Njaa ya siku moja tu bila buku saba unaogwa!

Nimewahi ili CHAMDOMO msije mkapotosha kama kawaida yenu, mtokwe mapovu lakini mjue habari ndiyo hiyo
 
Back
Top Bottom