Mwenyekiti wa CHADEMA Arumeru Magharibi ahamia ACT

Mwenyekiti wa CHADEMA Arumeru Magharibi ahamia ACT

hivi kwani wote wanaokwenda ACT sababu yao kubwa ni uongozi? kwa tuseme wanachama wote wa CTA watakuwa viongozi na watamuongaza nani?
 
Umekufa wewe chadema haiwezi kufa arusha hamna mpya nyie arusha madeki bahari mpaka ikauke sio leo wacheni umbea fanyeni kazi wacheni kukalia umbea siokuwa na tija huku mamluki stop habari ndiyo hyo
 
Umekufa wewe chadema haiwezi kufa arusha hamna mpya nyie arusha madeki bahari mpaka ikauke sio leo wacheni umbea fanyeni kazi wacheni kukalia umbea siokuwa na tija huku mamluki stop habari ndiyo hyo

Wanachadema wote arusha wanajiunga na ACT. Chadema utabaki wewe na lema
 
wewe una cheo gani chadema? Chadema arusha imekufa

Acha upumbavu wewe, huijui chadema, na Arusha huijui wewe..... CHADEMA ipo imara na itaendelea kupambana na mamluki wote na kuwafuta kabisa ndani ya chadema. Mpango wa Sheshe ulijulikana hata kabla ya kuchaguliwa. Tutaendelea kuwafuta ma ccm ndani ya chama chetu.... Sheshe hana uwezo wa kuongoza familia yake, eti anataka kuwa mwenyekiti wa jimbo loh!!
 
Habari za leo naomba nijibu hoja za uongo uliozushwa eti mwenyekiti chadema kuhamia act si kweli ni uwongo mwenyekiti wetu wa wilaya arumeru magharibi mh gibson ndiye mwenyekiti mteule huyo kapi msaka tonge anaitwa sheshe mamluki ccm b waliopandikiza baada ya kugombania uwenyekiti akapata kura 8 mh gibson akapata kura 113 akaenda act shauri ya kukosa cheo hatuwaitaji watu wa hovyo chadema huyo ni mrohoo wa madaraka msaka tonge huyo hana mpya chadema ni kazi kazi mamluki stop chadema hii ndiyo tumaini la watanzania hatuna nafasi ya wasaka tonge humu nampa pole huyu limbukeni wa siasa kuwa chadema ni kazi kazi tu huku mamluki stop alikuwa pandikizi alileta makundi ndani ya chama wananchi wakamchinjia baharini msaliti huyo hivi mwana chadema wa ukweli ukose cheo uhamie chama kingine kinaingia akili wadau jamani huyo mi snich r.i.p sheshe kisiasa umepotea kwenye medali ya kisiasa kalime huna mpya chadema ndiyo tumaini la watanzani act ni kikundi cha wasaliti aluta contunua

Yaani nimesoma hili andishi lako ni kama nipo namfatilia mtu anayetoka nduki mbaya. Hakuna hata kituo jamani duuuuh!! MODS naomba msaidie kufanya punctuation kwenye hii kitu eti
 
Jimbo la arumeru magharibi.
Walioomba nafasi za uongozi wa
chama ngazi ya jimbo.
Mwenyekiti.
1. Ernest elisha sheshe- 38
2. Gibson blasius meiseyeki-106
Katibu
1. Christopher rashid njiku- alijitoa
2. Albert elias olttereu-65
3. Charles adiel abraham- 78
katibu mwenezi.
1. Boniphace barnabas kimario-67
2. Solomon onesmo mmari-75
mweka hazina.
1. Masanja mihalalo kapalatu-28
2. Olais wavii ole loibanguti-118
mjumbe mwakilishi wa wilaya
mkutano mkuu taifa
1. Charles beda masumbuko-33
2. Stephano valentino hotay-23
3. Simon lawrence ole rayan-
4. Bahati daudi mollel-83
nafasi zisizozidi 4 za ujumbe wa
kamati ya utensaji
1. Lucas sirikwa mollel-52
2. Lebahati ngotee mollel-45
3. Elirehema soori mollelel-29
4. Eliakimu lekeri mollel-20
5. Longidare loishiye mollel-13
6. Ngomanzito wami nyanga-102
7. William paulo mollel-34
8. Noah william lewanga-18
9. Meshack loisujaki siwandeti-62
10. Agustino christopher
kimweri-83
11. Ismail loibanguti ngotee-88
 
Jimbo la arumeru magharibi.
Walioomba nafasi za uongozi wa
chama ngazi ya jimbo.
Mwenyekiti.
1. Ernest elisha sheshe- 38
2. Gibson blasius meiseyeki-106
Katibu
1. Christopher rashid njiku- alijitoa
2. Albert elias olttereu-65
3. Charles adiel abraham- 78
katibu mwenezi.
1. Boniphace barnabas kimario-67
2. Solomon onesmo mmari-75
mweka hazina.
1. Masanja mihalalo kapalatu-28
2. Olais wavii ole loibanguti-118
mjumbe mwakilishi wa wilaya
mkutano mkuu taifa
1. Charles beda masumbuko-33
2. Stephano valentino hotay-23
3. Simon lawrence ole rayan-
4. Bahati daudi mollel-83
nafasi zisizozidi 4 za ujumbe wa
kamati ya utensaji
1. Lucas sirikwa mollel-52
2. Lebahati ngotee mollel-45
3. Elirehema soori mollelel-29
4. Eliakimu lekeri mollel-20
5. Longidare loishiye mollel-13
6. Ngomanzito wami nyanga-102
7. William paulo mollel-34
8. Noah william lewanga-18
9. Meshack loisujaki siwandeti-62
10. Agustino christopher
kimweri-83
11. Ismail loibanguti ngotee-88

Yani katika wagombea wote hakuna muislam hata mmoja? chadema wabaguzi sana
 
nimemsikiliza leo asubuhi kupitia chanel 5 radio, sababu ya yeye kuhama ni kushindwa ktk nafasi ya uenyekiti aliyokuwa anaiwania
 
Back
Top Bottom