Mwenyekiti wa CHADEMA Arumeru Magharibi ahamia ACT

Mwenyekiti wa CHADEMA Arumeru Magharibi ahamia ACT

hapo ilikuwa ni kwenye ufunguzi wa tawi.. tuambie ufunguzi wa tawi unahitaji watu wangapi?
Ndugu,
Wewe wasema!

Mimi nimesema ''UMATI'' wa wananchi. Kwani wewe unafahamu umati wa wananchi ni wananchi wangapi?
 
Kama vurugu za mtu mmoja tu zinaweza kudidimiza uchumi wa mkoa mzima, basi hiyo serikali iliyoko madarakani itakuwa ni dhaifu kupindukia.

Mikutano ya Chadema ikifanyika Arusha Maduka yote na biashara zote Arusha zinafungwa kwa kuoggopa uporaji unaofanywa na Lema na genge lake la wahuni, Biashara ya utalii arusha imekufa kwa sababu ya mavurugu ya Lema na magenge yake ya wahuni.
 
Mmh.... MwanaDiwani, mbona hujatueleza source ya hiyo habari yako?

Most likely hizo habari utakuwa umezinukuu kwenye gazeti lenu la propaganda+udaku=Uhuru!
 
Mmh.... MwanaDiwani, mbona hujatueleza source ya hiyo habari yako?

Most likely hizo habari utakuwa umezinukuu kwenye gazeti lenu la propaganda+udaku=Uhuru!
Ndugu Mystery,
Habari nimeileta na picha ili kuondoa wingu la mitazamo yenye nukta.

Huoni vijana wa Godbless Lema wanavyojaribu kumtetea hapa,
hapo ilikuwa ni kwenye ufunguzi wa tawi.. tuambie ufunguzi wa tawi unahitaji watu wangapi?
 
Hivi kweli yale maisha bora mliyowalaghai wananchi yako wapi?
Hivi huna habari kuwa muasisi wa hiyo filosofia ya maisha bora kwa kila mtanzania, ameibuka na 'latest slogan' kwa kusema kuwa yeye ndiye atakuwa Rais wa mwisho, katika history ya TZ, kuwaongoza watanzania malofa?!
 
Mikutano ya Chadema ikifanyika Arusha Maduka yote na biashara zote Arusha zinafungwa kwa kuoggopa uporaji unaofanywa na Lema na genge lake la wahuni, Biashara ya utalii arusha imekufa kwa sababu ya mavurugu ya Lema na magenge yake ya wahuni.
Kwa hiyo unataka kututhibitishia kwamba serikali ya ccm ni dhaifu kiasi kwamba imeshindwa kumkamata mtu mmoja anayefanya vurugu? Sasa serikali ya namna hiyo ni kwa nini iendelee kubaki madarakani?
 
Ndugu,
Siwezi nikashangaa maneno ya Mh. Mbowe kwa sababu CHADEMA kinaongoza nchi ya kufikirika!

Nchi wanayoiongoza imejaa watu wanaowaita wasaliti na mamluki.

Maneno kama wasaliti na mamluki ni kawaida sana kuyasikia yakisemwa na hawa baadhi ya viongozi wa juu ndani ya CHADEMA.

Huwezi kupata maneno kama reality check ndani ya ofisi na fikra za hawa baadhi ya viongozi wa CHADEMA.

Baada ya mwaka 2015, utaanza kuwasikia wakipiga kelele huku wakisema, TUMEIBIWA KURA ZETU.
Hallo katibu mwenezi, mbona hili swali unalikwepa? Zile siku 90 ulizotoa za kuwavua wezi wenzako magamba hazijaisha tu? Kama hazijaisha, zitakwisha lini? Kama zilikwisha na hujachukua hatua yoyote unasubiri nini kujiuzulu?
 
Mukulu baada ya kunyimwa pesa ya safari za nje sasa kaibuka na za ndani, jamaa kiguu na njia kweli!,
yaani watu walipigwa na mafuriko miaka kadhaa iliyopita, anawatembelea sasa hivi,
sijui alikuwa wapi!?-%#sw
 
Hallo katibu mwenezi, mbona hili swali unalikwepa? Zile siku 90 ulizotoa za kuwavua wezi wenzako magamba hazijaisha tu? Kama hazijaisha, zitakwisha lini? Kama zilikwisha na hujachukua hatua yoyote unasubiri nini kujiuzulu?
Ndugu,
Mimi ni MwanaDiwani na siyo Katibu Mwenezi.

Kwa faida ya fikra na mtazamo wako kuhusu falsafa ya kujivua gamba angalia hii video ili upate darasa.

[video=youtube_share;cZcm6XbYnoE]http://youtu.be/cZcm6XbYnoE[/video]

Thanks!
 
Viongozi wakuu wa CHADEMA hawakuamua kwenda kukificha chama kwenye kikundi kinachojiita UKAWA kwa bahati mbaya, la hasha. Mazingira ya kisiasa ndiyo yamewalazimisha kufanya kitendo hicho na kula matapishi yao.

Huwezi kuwa mwanasiasa mlaghai kama huna kipaji katika fikra na mitazamo mipana ya kilaghai.

Baadhi ya Viongozi wakuu wa CHADEMA wamebarikiwa na shetani taranta ya kilaghai. Kila siku wanawalaghai wanachama wao na wananchi kwa ujumla ili waendelee kusimama katika ulingo wa kisiasa ndani ya chama.

Huhitaji kuwa political analyst kutambua hali ya Chadema ilivyo mbaya kwa sasa katika ulingo wa siasa za ndani ya chama na nje ya chama.

Kwa sasa baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA ambao wanakabiriwa na tsunami ya uchaguzi katika uongozi wao wameanza kutengeneza maigizo ili kuwaaminisha wanachama na wananchi kuwa wanakubarika hata maeneo ambayo wana msukosuko wa kiongozi. Haishangazi kuona hata uchaguzi wa viongozi wakuu wa kitaifa umeahirishwa mara tatu.

Kuna wengine eti wanachukuliwa fomu na wanaombwa kugombea uongozi kana kwamba walishatangaza kuwa hawana pesa za fomu au hawatagombea. Kinachochekesha na kushangaza ni aina ya watu wanaowaomba kugombea. Ulaghai wao umefikia kiwango ambacho kinawafanya hata washindwe kupambanua mantiki ya ulaghai wao.

Kwa nini Wazee kutoka Kigoma na siyo Wazee kutoka Hai?. Why Kigoma?

Kuna angalizo linalosema, mtu mwenye akili, akijua kuwa na wewe una akili akakueleza jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau sana. Hawa viongozi wa CHADEMA wanawadharau sana wanachama wao.

Siasa za kilaghai huishia ukingoni!
MwanaDiwani,
Thread tuliyokuwa tunajadiliana ulisema hamuangalii viongozi wa vyama vya upinzani leo tayari umekuja na single ya Lema.
naomba uni PM nikupe siri ya kuweza kukipigia debe CCM bila kuwataja viongozi wa CDM.
 
sahivi tukio lolote la CDM ni "habari"
 
10547468_706867322727165_8559685884016407594_n.jpg

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akiwa juu ya jukwaa wakati akihutubia ''umati'' wa wananchi.
10533384_706867169393847_3536350669567458958_n.jpg

''Umati'' wa wananchi ukimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema katika mkutano.
=======================================================================

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema alikuwa akihutubia ‘’umati’’ wa watu baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Ernest Sheshe na viongozi wengine 10, kuachia ngazi kutokana na kuchukizwa na vitendo vya rushwa.

Sheshe na wenzake hao walifikia uamuzi huo baada ya viongozi na wanachama wengine kumwaga rushwa ya vyakula na vinywaji kwenye uchaguzi. Sheshe, ambaye alikuwa akitetea nafasi hiyo, alisema kabla ya kuanza kwa uchaguzi ngazi ya wilaya, wagombea walikuwa wakitoa rushwa na hata taarifa zilipofikishwa makao makuu, hakuna hatua zilizochukuliwa.

Pia alimrushia kombora, mgeni rasmi katika mkutano huo, mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kwa kushindwa kukemea wala kuchukua hatua dhidi ya rushwa hiyo

Viongozi wengi wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuchezewa rafu na wapinzani wao, ambao wanatajwa kubebwa na baadhi ya viongozi wa makao makuu.

Lema alisema madai ya Sheshe ni kutapatapa na kuwa iwapo hakuridhika na matokeo, alipaswa kukata rufani na si kuhama. Alisema wagombea wote waliridhika na matokeo hayo kasoro yeye na kwamba, chakula kilichotolewa kwenye mkutano huo kwa baadhi ya wajumbe ni fedha zilizochangwa na wajumbe wa mkutano huo.

“Chakula na vinywaji haikuwa rushwa ili mgombea fulani ashinde, bali kiliandaliwa kwa sababu wajumbe wasingeweza kukaa na njaa, aache umasikini,” alisema.

Mkoani Tabora nako mambo si shwari kutokana na Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa, Kansa Mbarouk, kujiengua ndani ya chama hicho.
Mbarouk alisema amechukua uamuzi huo kutokana na mambo kutokwenda vizuri huku akiwashushia lawama viongozi wa ngazi za juu kuvunja Kanuni.

Tuache kuwasingizia watu, maneno hayo (Redish) hayawezi "kuzungumzwa" na kiongozi ndani ya Chadema. Haya ni maneno ya wale wengine hatuwezi "kuiga"
 
Ndugu,
Wewe wasema!

Mimi nimesema ''UMATI'' wa wananchi. Kwani wewe unafahamu umati wa wananchi ni wananchi wangapi?

hata hicho cheo cha uenezi katika ccm sijui nano alikupa ..... umesheheni utoto, ujinga na staha zisizo na busara

mwenzako amechaguliwa kwa kura halali na wananchi tena amemshinda aliyekuwa waziri katika serikali ya ccm .... wewe unabwabwaja kwa wivu wako wa kisiasa ..... mwenzako hana pesa za kukodisha mafuso kubeba wananchi kwenye mikutano ya siasa ... anatembea kwenye matawi kuhutubia

Anyways time will tell .... aina hii ya kina wanasiasa kama napenape inafikia ukingoni
 
Mimi iliniacha hoi ile ya Halima Mdee kuombwa kugombea!!!ni kweli UKAWA inaficha mengi
 
Umati gani huo.....tafsiri ya umatinni nini????kweli wachooovuuu aibu sana huyu jamaa akatafute kazi ingine pale sokoni mwakani ubunge asahau
 
Lema wana arusha wamemchoka baada ya kudidimiza uchumi wa arusha kutokana na mavurugu yake. Wanasubiri uchaguz mwakani wamuondoe.

naomba uniambie mbunge wako pamoja na serikali wamefanya nini mpaka leo kuinua uchumi na maisha ya watanzania?
 
Back
Top Bottom