nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
..haa haa,maccm mtataga mwaka huu!
LEMA kapoteza mvuto.siku zake zinahesabika.
nchi hii imejaa watu wajinga wengi ndio maana ccm inaendelea kutawala kwasababu ya watu mabwege kama hawa, hivi ukishindwa uenyekiti bado unaendelea kuwa na nafasi uliyoshindwa? na MOD kwanini huu upotoshaji kuhusu chadema hauondoi hata inapothibitika kwamba ni uongo? kwanini kichwa cha habari kinaendelea kusema mwenyekiti wa chadema wakati mtu huyu unathibitishiwa kwamba alishindwa uchaguzi? na wengi watakimbia kwasababu ya kushindwa nendeni huko kwa wasaliti wenzenu maana inaonekana wewe unataka kuongoza tu ukishindwa hutaki kuongozwa unakimbia na hicho chama chenu kilichojaa watu wenye wasaliti na watu walio na hasiara mbalimbali na chadema hakiwezi kujengeka kwasababu mnakijenga kwa kujaribu kukomoa badala ya kujenga misingi yenu na sera zenu, shame on youKisa adai hakuna demokrasia na uongozi
================
hakuna haja ya kulalamika sana chama chenyewe kinakufa kwa sababu ya ubaguzi