Nuru Ndosi
Member
- Mar 31, 2013
- 13
- 2
Kuna muislam aliyejitokeza kuchukua fomu akazuiwa kugombea?wewe mwenyewe unayeuliza hili wewe ni CCM nashangaa maulid sio yako umeivaliia kanzu ?
Watabaki mbowe na mtei
Kwa kuwa watu wengi waliathiriwa na tabia ya kigamba kusaka tonge,wakikosa ndani ya chadema watajinasibisha kwa hoja nyingi tu.Uchaguzi huu utaibua wengi ambao kwa kutunika watasema wanaonewa,tutaanza na akina Mbarouk wanaodai nafasi bila kutizama mshindonyuma.source star TV.
Kisa adai hakuna demokrasia na uongozi
Una siasamfilisi,kugombea ndani ya chadema kila mwenyemapenzi na chama anakaribishwa, si mkristo au muislam.Hata wewe ukitaka kagombee harafu demokrasia kupitia sanduku la kura itazungumzaYani katika wagombea wote hakuna muislam hata mmoja? chadema wabaguzi sana
Tumia vema ubongo uliojaliwa na mwenyezi mungu,nguvu ya chadema iko katika sera ya elimu bure,matibabu bure,kupunguza gharama ya bati na sementi ili wananchi wa kiwango cha chini wajijengee nyumba bora.nguvu ya chadema iko katila kuhakikisha inakusanya kodi zinazotumika kuanzisha miradi ya maendeleo,ukawa ni sehemu tu ya nguvu zake kwa kuwa kama m/ kiti inalojukumu kuonesha njia,nguvu ya chadema ni sera za kilimo,elimu,afya,maji na umeme zilizofeliChadema inasikitisha, nguzo yao iliyobaki ni UKAWA tu, na siku wakimkorofisha Lipumba basi wamekwisha!
Baada ya kushindwa uchaguzi?So.ebodu Sheshe. Star tv wamesema alikuwa mwenyekiti Jimbo la Arumeru Magharib kahamia ACT Kwa kuchoshwa na udictator na ahadi hewa za vikngozi wa juu
uzi umevamiwa na watu wanaoshupaa, ngoja nikae kando.
Kupitia star tv taarifa saa mbili wamemuonyesha jamaa mmoja anaitwa Erenest sheshe kwamba alikuwa m/kiti wa CDM arumeru magharibu na amejuzuru nafasi za uongozi na kujiunga na act.
Cha kushangaza kuna kadi alikuwa ameweka mfukoni kama 7 hivi alipofika mezani akazitoa. ukiziangalia zile kadi ni mpya kabisa. alikuwa anawaonyesha waandishii wa habari na hakusema chochote kuhusu zile kadi na alikuwa mwenyewe na waandishi wa habari. sasa najiuliza yeye mwenyewe ndio amehama lakini ana kadi mpya za kuonyesha waandishi wa habari.
Kitu ambacho hakiingii akilini amesema walikuwa na malalamiko kwa viongozi lakini hajasema tatizo hata moja.
Jaman nilikuwa nasikia kuna wanaume jina leo nimeanza kuamini,yaani mwanaume unampa mwanaume mwenzio akili zako akutunzie. hawa wamekuwa kama nzi hawana utashi.
Mimi nawashauri act waache propaganda. Ukiacha ofisi huondoki na nyaraka ulizokabidhiwa sasa huyu anaondoka na nyaraka za ofisi
ACT mtuambie mna wanachama kutoka ccm wangapi? hizo bilion mlizopewa bora mngewape hata walemavu
ACT ndio mbadala wa CHADEMA.
Yani katika wagombea wote hakuna muislam hata mmoja? chadema wabaguzi sana
ACT ni chama cha kishamba sana !