Adui yako muombee njaa.Za chini ya kapeti 🤣
Bila shaka huu ni uzushi tu mkuu
Amepumzika/amechoka mpaka kukemea maovu kwenye jamii yake??Bado mnamuota Mbowe, si mlisema amechoka apumzike?
Asubuhi na mapema tupo road,uoga uliisha 29octoberMkuu Polisi wamepiga marufuku maandamano D9, bado tutatoka?
🤣Yuko na demu wake Yericko Nyerere wanakula mema ya nchi
Dalali yule hana msaada wowote ,,,sasa hivi hana watu wa kufanya nae biashara
[/QUO
Unajua Mbowe kuukosa Uongozi kaumia Sana yeye na Washirika wake ndiyo Maana Chadema walivyosema hawatashiriki Uchaguzi Mkuu madalali wengi walichanganyikiwa ikabidi sasa CCM iwatafutie Chama mbadala ili waende kugombea, Sasa madhumuni yao Viongozi wakishaenda Chauma Chama cha Chadema kitakufa kama kilivyokufa Cuf. Sasa kwa bahati mbaya mission yao ilifeli kwasababu hawakupata sapoti ya Wananchi, Viongozi matapeli kama Kigaila, Msigwa, Salumu Mwalimu na wengineo walijua wakiondoka Chadema na wananchi watawafata kama alivyofanya Maalim Seif.
Mkuu huyu anatakiwa kuzibitiwa anaweza akawa kajipanga kujaribu kuchukua tena Chama, Unajua Ukishakua Kiongozi na unapewa huduma za VIP na zikakata wanaumia sana kuzikosa zile huduma.Huyo hana umuhimu wowote kwa sasa
Hata akikata moto poa tu!
Yule alikua anachukua sana Mapesa inaoneka alikua anapewa tangu awamu ya Msoga sasa Baada ya Msoga kuondoka naona pesa zikakata zikabakia za ruzuku tu! Ndiyo maana Samuya alivyoingia tu wakatuchezea michezo ya kitapeli ya kufungua kesi ya mchongo ya Ugadi ili baadae atolewe na apewe Asali Arambe na kweli baada ya kupewa Asali akawa kimyaaaMstaafu alituuza sana huyu jamaa
Mungu mkubwa sana. Yaani dalali amekuwa exposed ndani nje. Jamaa lilikuwa linafanya biashara wa kisiasa. Tukishachukua nchi tutalifungulia mashtakaMwenyekiti msaatafu wa Chama kikuu Cha Upinzani Freeman Mbowe yuko wapi?
Anakaa vipi kimya kwenye hali mbaya ya kisasa kama hii kuwahi kutokea nchini?
Carlos The Jackal