Mwenye Update za Mwanza Community Bank

Mwenye Update za Mwanza Community Bank

hata mm wamenitumia hiyo msg. Na mwishoni wamemalizia kama utaona uwezi subiri hadi May unaweza kuwatumia msg kwa kureply email yao waliokutumia. Ni wakwel. maana me nilireport ile Corruption Action
 
mimi sijatumiwa,ila kuna rafiki yangu katumiwa,kaambiwa yeye amefanikiwa kuingia kwenye timu yao ya mafunzo,ila kuna mabadiliko ya tarehe ya kuanza hayo mafunzo,yalitakiwa kuanza tarehe moja mwezi wa nne,ila wamepokea order toka kwa uongozi wa MCB kua waongeze watu wengine kumi ili watimie 30,hivyo mchakato wamepanga mafunzo yaanze mwezi wa tano ili huu mwezi mwengine wautumie kuwatafuta watu wengine kumi,pia ameambiwa aandae kitambulisho cha kazi/mpiga kura,original certificates na barua toka kwa mtendaji wa kijiji!kuhusu lini wataanza mafunzo wamemuambia watampa taarifa! ndo hvyo mdau!
upo sahihi ndio hivyo hivyo mail address nami wamenitumia
 
hata mm wamenitumia hiyo msg. Na mwishoni wamemalizia kama utaona uwezi subiri hadi May unaweza kuwatumia msg kwa kureply email yao waliokutumia. Ni wakwel. maana me nilireport ile Corruption Action

Likewise....nilireport na wamenijib (wamereply) kupitia ile ile report yangu ya corruption kuwa nmechaguliwa....ila sijawa na uhakika kama ni wakweli.
 
Kiukweli wajanja hawa jamaa wanatechnique ya kuajiri Good product kwan maelezo yote walitoa kwamba help us t o prevent corruption na email wakaweka,mie nimepata morn sms yao fasta nikareport kama walivyo taka pia kumbuka ni moja ya interview hiyo ya kuombwa rushwa if u hav reporting umeula wangu

Nawewe sikuaminiamini maana duuh kama member wao vile, unawapigia debe sana. Au ndo kutuzubaisha!??
 
Likewise....nilireport na wamenijib (wamereply) kupitia ile ile report yangu ya corruption kuwa nmechaguliwa....ila sijawa na uhakika kama ni wakweli.
Me wamenitumia fresh kabisa new msg hawakureply ile ya corruption. mmh au ndio ilikuwa mtego wao huo? let us waitin cku hazigandi na huku tukiwa tunatafuta sehemu zngne pia. cz kwa kufikiria tu haiwezekani watutumie watu wote ambayo tulikuwa shortlisted msg ya kuomba rushwa i thnk walikuwa wanapima ile attribute ya kuwa Attention to the details. cz walitoa mail ya prevent corruption reportng
 
Nawewe sikuaminiamini maana duuh kama member wao vile, unawapigia debe sana. Au ndo kutuzubaisha!??
ha ha ha, ni kujifariji tu na kujipa moyo mzee, ajira nw ni ishu xana. Acha watu wajifariji kwa gud assumptions na kuwa na positive minds
 
Me wamenitumia fresh kabisa new msg hawakureply ile ya corruption. mmh au ndio ilikuwa mtego wao huo? let us waitin cku hazigandi na huku tukiwa tunatafuta sehemu zngne pia. cz kwa kufikiria tu haiwezekani watutumie watu wote ambayo tulikuwa shortlisted msg ya kuomba rushwa i thnk walikuwa wanapima ile attribute ya kuwa Attention to the details. cz walitoa mail ya prevent corruption reportng

Ndo ivo kiongozi, ngoja tuwaone huku tukichek mishe zingine.
 
Samahani wakuu, mimi ni mmojawapo wa waliotumiwa msg hiyo ya kuombwa rushwa ambapo nilipaswa nitoe jibu kufikia jioni na niliipata msg hiyo mida ya saa 5 as. Wakati huo nilikuwa mwishoni mwa safari kwenda kijijini ambapo isingekuwa rahisi kurudi na kwenda internet cafe kuripoti issue hiyo TAKUKURU.
Nilichofanya ni kumjibu huyo jamaa kuwa "Kazi naihitaji sana, sina pesa anayoiomba na kwa imani yangu hainiruhusu kufanya hivyo na nikamwambia kama ni suala lakunisaidia basi haina haja ya maswala ya fedha (sh 300,000 alizoomba).

Silalamiki kwa maana hii nichangamoto kwangu na japo sio rahisi mtu kujishuhudia mwenyewe, ukweli nikwamba napinga sana rushwa na hii sio mara ya kwanza kwangu nilishatokewa na issue kama hizi zaidi ya mara 3 tena katika taasisi kubwa za kuombwa kitu kidogo ili ma HR wanifanyie njia ya kupata ajira bila mchuano na nilikataa. Pengine kutokana na kiburi nilichonacho kwa wataka rushwa ndio maana bado naendelea kufanya kazi kwenye vitaasisi vidogo.

Baada ya kuelezea jinsi nilivyokabiliana na issue hii ya MCB napenda kuuliza swali, Je kipimo cha mpinga rushwa ni yule anayeripoti takukuru kwa maelekezo ya mwajiri (maana tulipewa maelekezo) au hata aliyemjibu mtaka rushwa kuwa "KWA IMANI YANGU SIWEZI FANYA HIVYO"?
 
mimi sijatumiwa,ila kuna rafiki yangu katumiwa,kaambiwa yeye amefanikiwa kuingia kwenye timu yao ya mafunzo,ila kuna mabadiliko ya tarehe ya kuanza hayo mafunzo,yalitakiwa kuanza tarehe moja mwezi wa nne,ila wamepokea order toka kwa uongozi wa MCB kua waongeze watu wengine kumi ili watimie 30,hivyo mchakato wamepanga mafunzo yaanze mwezi wa tano ili huu mwezi mwengine wautumie kuwatafuta watu wengine kumi,pia ameambiwa aandae kitambulisho cha kazi/mpiga kura,original certificates na barua toka kwa mtendaji wa kijiji!kuhusu lini wataanza mafunzo wamemuambia watampa taarifa! ndo hvyo mdau!

Yaan we kati ya watu wooote tuliopita kwenye aptitude test. Unataka kusema ni huyo tu rafik yako ndo kaitwa. Pppff sidhan
 
hata mm wamenitumia hiyo msg. Na mwishoni wamemalizia kama utaona uwezi subiri hadi May unaweza kuwatumia msg kwa kureply email yao waliokutumia. Ni wakwel. maana me nilireport ile Corruption Action

Wamekutumia kuwa umechaguliwa au?
 
Mliotumiwa kuwa mmechaguliws hizo emails mlitumiwa hiyo trh20 au the same day mlivyo report hiyi corruption. ?
 
Mliotumiwa kuwa mmechaguliws hizo emails mlitumiwa hiyo trh20 au the same day mlivyo report hiyi corruption. ?
Kwa upande wangu, is not the same day nilivyoreport. me walinitumia msg ya kuchaguliwa jana jioni
 
mimi pia jana jioni nimetumiwa email ya cograt, coz pia nireeport hilo tukio, bt kunamadadiliko training itafanyika mwezi wa tano coz kunawatu 10 wataongezeka kataika branch za geita na kahama etiii kwa mawasiliano zaidi aliyechaguliwa ili tupeane tarifa sahii nipigie 0718 524545
 
Wapendwa naombeni nijue kama hawa jamaa wamesha chagua watu wa training, msaada please wanaJF
 
tayari mbona na wameshatuma email address kwa waliochaguliwa
 
Jmn mbona mm nilireport hiyo kitu na walivyonijibu ni kunitumia email na details za pius mwesigwe tu. Nikashindwa nifanyaje.
 
Back
Top Bottom