mapie
Member
- Mar 21, 2014
- 95
- 43
tarehe 21
yeah da same date na mm.
tarehe 21
nimetoka MCB sasahivi yani kuuliza hawa jamaa ni waongo ni wezi wa mtandao tu, mcb bank nafasi za kazi hazijatangazwa na haiwezekani mcb bank watangaze nafasi kwenye mtandao tu pasibo vyombo vingine vya habari, mi pia ni moja wa waliotumiwa email ya kuchaguliwa jaman take care kwa maelezo zaidi nipigie 0718 524545yeah da same date na mm.
kila la heri, ila mm nlfka mcb kuulizia kama kuna kazi ziltangazwa kupitia quality service jibu nililoambiwa ni hakuna tangazo la kazi kuptia quality service
yaani hapo ndio napata utata kama MCB wanavyofwata hpo ofisini kwa maulizo za hz kazi nilitegemea wangeshtuka na kutoa tamko kwny vyombo vya habari. Maana kama kwel hawa jamaa ni matapeli na tena wanatumia jina la MCB, obviously public image ya MCB hta ikianza itakuwa imechafuliwa na kutiwa dosari. HAPA NI UTATA.Yaan waba tu brain wash hawa. Maana mi nilienda jana ofisi za MCB. Nilichojibiwa kuwa hawa watu ni matapeli jaman. Km kwel matapeli mbona wamejianika hivyo. Inamaana hawa MCb halisi hawawezi chukulia hawa watu hatua? Utata
kaka acha kutia watu moyo mimi npo mwaza na mpaka ilipo benk nishafika nilie mkuta kanithibitishia mcb hawajawahi kutangaza kazi ile ni gvnt hata kama ni kazi tungeziona kwenye magazeti kaka ni utapeli mtupu , fungua macho kakaLakin bado hawaelek watuweke waz jaman
kaka acha kutia watu moyo mimi npo mwaza na mpaka ilipo benk nishafika nilie mkuta kanithibitishia mcb hawajawahi kutangaza kazi ile ni gvnt hata kama ni kazi tungeziona kwenye magazeti kaka ni utapeli mtupu , fungua macho kaka
Hehehheeh we upo mwanza gani kaka hyo benki haipo haijaanza kazi acha kuposha umma
Gazetini zilitoka labda hukuziona kwa kua ni wavivu kuntnua magazeti.