Mwenye Update za Mwanza Community Bank

Mwenye Update za Mwanza Community Bank

Yan kila kukicha naona mapichapicha tu...cjui where the truth stands...kazi kweli kweli.
 
Kuhusu wanashortlist lini sifaham kwan mie nimepata uhakika wametangaza wao hizo nafasi c utapeli bali wanavyo endesha interview zao ndo zinatufanya tuchanganyikiwe na kuwaona matapeli hapa nikuvuta subira2 kwan walidai tarh 20 au before 1 mwez wa nne,ata nyie tuma m2 akaulize yeye kama yeye utapata jibu nafas walitangaza ni kweli
 
Asante kwa taarifa
 
walisema majina watayaweka kwenye Magazeti ya MWANANCHI AND OR DAILY NEWS kuanzaia tarehe 20 April - 1 may, ivyo kama tarehe hizo zimefika, ni jukumu lako/lenu/letu kuyasoma kwa hizo siku zote tajwa ili usipitwe
 
mtu akipata gazeti lenye info izo atutonye jamani, these people are serious on dat
 
Wapendwa au mpaka itimie tarehe 20 mwezi huu ndo tujue majina yetu kama wametuchagua au kuna yeyote kapata news mpya?

Jamaa wamesha anza kutuma email,leo kuna mwenzangu ametumiwa email na hao jamaa!
 
kanifowardia email sema nimeshindwa kuisoma simu yangu haina uwezo wa kusoma document!ni attachement document!

Kama vipi mwambie akwambie inasemaje kama yeye kaisoma afu utupatie nasisi taarifa kiongozi.
 
Jamani kwa yeyote aliyetumiwa e-mail kuhusu kupata kazi Mwanza Community Bank naomba atujulishe tupate uhakika wamesha anza kuwatumia watu e-mail.....:shocked::shocked::shocked:
 
Kama vipi mwambie akwambie inasemaje kama yeye kaisoma afu utupatie nasisi taarifa kiongozi.

Kwa mujibu wa taarifa niliyo ipokea hivi punde toka kwa yule mtu wangu wa karibu alietumiwa email amesema namnukuu" nimetumiwa email leo asubuhi na wale jamaa wa MCB,wameniambia nimeteuliwa kuingia kwenye timu yao ya mafunzo,pia wameniambia mafunzo yalipangwa kuanza tarehe moja mwezi wa nne huko mwanza ila wamepokea order kutoka MCB makao makuu wakiwaagiza waongeze tena watu kumi ili wafikie thelathini,hivyo mchakato wameuongeza mwezi mmoja mbele ili wakamilishe hilo zoezi la kuongeza hao watu kumi kwa hiyo mafunzo yataanza rasmi mwezi wa tano,tarehe wataniambia.pia wamenitaka niandae kitambulisho cha kazi/cha mpiga kura,original certificates na barua kutoka kwa mtendaji wa kijiji" mwisho wa kunukuu wadau habari ndo hyo hapo jamvini!
 
Kutoka kwa nani au shirika gani mana a siku napokea email
 
Soma Title ya topic Kwakukusaidia mimi nataka kupata update kuhusu yeyote aliyetumiwa e-mail kuhusu kuitwa kwenye kazi Mwanza Community Bank..............
 
tarehe 20 si tayari? hayo majina yamewekwa kwenye hayo magazeti au bado jamani, tarehe tayari
 
mimi sijatumiwa,ila kuna rafiki yangu katumiwa,kaambiwa yeye amefanikiwa kuingia kwenye timu yao ya mafunzo,ila kuna mabadiliko ya tarehe ya kuanza hayo mafunzo,yalitakiwa kuanza tarehe moja mwezi wa nne,ila wamepokea order toka kwa uongozi wa MCB kua waongeze watu wengine kumi ili watimie 30,hivyo mchakato wamepanga mafunzo yaanze mwezi wa tano ili huu mwezi mwengine wautumie kuwatafuta watu wengine kumi,pia ameambiwa aandae kitambulisho cha kazi/mpiga kura,original certificates na barua toka kwa mtendaji wa kijiji!kuhusu lini wataanza mafunzo wamemuambia watampa taarifa! ndo hvyo mdau!
 
wizi mtupu hapo
 
Back
Top Bottom