Mwenye Update za Mwanza Community Bank

Mwenye Update za Mwanza Community Bank

Jamani kunayeyote akatuhabarisha kipi kinaendelea huko mana tym ishasogea and only 15 days remained kama walivyokua wameahidi.
 
Jamani kunayeyote akatuhabarisha kipi kinaendelea huko mana tym ishasogea and only 15 days remained kama walivyokua wameahidi.

Ww upo kwny ile intake ya kwanza au hii ya pili?
 
Any updates baada ya kufanya hyo test second intake? Tujuze
 
Yeah walinitumia hio test nikafanya but mpaka leo hawajatoa majibu kama tumepita ama la , siwaelewi
 
Hawa watu ni matapeli,mdogo Wang aliomba na kuchaguliwa ile Mara ya kwanza lakini tumefatilia hadi kwa mwenyekiti wa Mwanza community Mr Kahungwa kasema bado hawajatangaza kazi na hizo ofisi wanazojifanya ni Zao ni uongo tumefatilia kote,tafuteni kazi sehem nyingine acheni kupoteza mda,Zhao kina Pius Mwesiga ni wapuuzi, baada ya kuwaambia tumeujua ukweli wakazima na sim zao hawapatikan tena.
 
Mimi nadhani tuwe na subra huku tukiendelea kutafuta mahala pengine, naona waliowengi wanaconfirm kwa wasiohusika, Si kitu rahisi kwa MCB kukubali kuwa walishatangaza kazi kama walishatoa jukumu kwa recruitment agency. Tumesahau kwamba Quality service wamepewa jukumu na ndiyo wana majibu yote, mm nashauri wadau kama kweli bench linaumiza basi nendeni moja kwa moja quality service wao ndo wanazijua mbichi na mbivu. physical address yao mnayo!!!:israel:
 
Sio subra wala nn. Ni kutafuta kaz sehem nyingine km kwel mtu ukiitwa poa. Ila tusitegemee MCB tu. Maana nilienda hapo Ofisin kwao mara mbili, yule mama anasema kuwa wao km MCB hawajatangaza nafasi. Hao kina Mwesiga sijui ni matapeli. Km ushaur tusijiumize vichwa maana hapa ni utata na kupotezeana mda. Tuzidi search job opportunities kila sehem. Tuachane na utata huu. Km mtu utaitwa na bado hujapata kaz poa.
 
Back
Top Bottom