Mwenye Update za Mwanza Community Bank

Mwenye Update za Mwanza Community Bank

Cjapigiwa wangu ila nilisha fanya test yao ya kwenye net,ila jf wengi wanadai wamepigiwa cm wakiombwa pesa asa ndo mana nashindwa elewa mara wengine wanadai jamaa ni matapeli du ndo nachoka kabisa wangu
sms ilinitaka nitoe laki tatu then nikiwa katika training sasa me sikuelewa nini kinaendelea ndo maana nakwambia tusubir tar 20 had kufika 1 mwez wa nne itafaahamika vizur
 
ok ngoja 2one hatima yake mana hapa hata sielewi elewi vile wangu
 
Chondendechonde jamani huyo jamaa ni mwiz mm nlisha wasilian na muhusika mwenye wa MCB akasema kaz zilizowekwa n za uongo
 
nimeikuta link ya aptude test mwanza comunity bank lakini haifunguki vpi wadau nimechelewa msaada tafadhali
 
Wale tuloomba kazi MWANZA COMMUNITY BANK tuwe makini wale jamaa wanaojifanya ni ma consultants ni wezi watupu ,Jana yule anayejihita PIUS MWESIGA ametuma mesej kwa mtu akimtaka ampe sh laki 3 then ampatie laki 1 kipindi atakapokuwa training.....angalizo , Mwanza Community Bank itaanza kazi miez michache ijayo but hawajaanza kuajiri tafazal...TAK CARE WEZI wengne tunao hum hum...
 
Jamaa ni wezi saaana , tena nahis kuna watu washapigwa , tuwe makin jaman na hawa akina Pius Mwesiga
 
Acha uongo weweee , watu wametimba mpak huko unakofanyia kazi bwana PIUS , mbona unatak kutuibia kirahis hivyo kakaaaa.....bank haiitaj mtu mla rushwa wapi wanakohitaj , acha wizi PIUS utachomwa moto
 
tapeli kashtukiwa lakini kuna wenzangu na mie hata jf hawaijui hizi habar sizani kama wanazipata kua hawa ni matapeli naamini watakua washawatapeli watu wasio na ufahamu na haya mambo mpaka sasa.
 
Wale tuloomba kazi MWANZA COMMUNITY BANK tuwe makini wale jamaa wanaojifanya ni ma consultants ni wezi watupu ,Jana yule anayejihita PIUS MWESIGA ametuma mesej kwa mtu akimtaka ampe sh laki 3 then ampatie laki 1 kipindi atakapokuwa training.....angalizo , Mwanza Community Bank itaanza kazi miez michache ijayo but hawajaanza kuajiri tafazal...TAK CARE WEZI wengne tunao hum hum...

Hao watu wanaonekana ni matapeli na ukiangalia hata maelezo yao wametoa maelezo mengi sana ambayo kwa hawali siyo ya lazima.
 
Pia walisema kutakuwa na training ya miezi mitatu. Hivi kina mtu anajua hiyo training inakuwa inafanyiwa Dar au Mwanzs?
 
Pia walisema kutakuwa na training ya miezi mitatu. Hivi kina mtu anajua hiyo training inakuwa inafanyiwa Dar au Mwanzs?

Ni matapeli mkuu, taarifa yote ile ilikuwa ni ya kutunga kwa ajili ya kufanyia utapeli.
 
HAPO HAKUNA KAZI NDUGU ZANGUNI KUWENI MAKINI SANA NA HAO WATU,HASA HUYO MR. MWESIGWA NI TAPELI TUU. NIUMEFANYA MAWASILIANO NA MWANZA COMMUNITY BANK NA WAMENITHIBITISHIA KUA WALISHASIKIA HILO TANGAZO NA WALISHAFAFAUNUA KUA HAWAJATOA NAFASI ZA KAZI KWA SASA HIVYO HUO NI UTAPELI TUU,KAMA KUNA MTU ANATAKA MAELEZO ZAIDI ANITAFUTE NIMUELEWESHE

WATCH OUT GUYS..:director:
 
Kiukweli wajanja hawa jamaa wanatechnique ya kuajiri Good product kwan maelezo yote walitoa kwamba help us t o prevent corruption na email wakaweka,mie nimepata morn sms yao fasta nikareport kama walivyo taka pia kumbuka ni moja ya interview hiyo ya kuombwa rushwa if u hav reporting umeula wangu
 
Jaman wana JF nimefanya upelelezi kuhusu hizo nafasi nimetumia mtu kwenda kuuliza mwanza wamejibu nafasi ni kweli walitangaza so kwa wale wote mlio 2miwa sms ya kuombwa pesa mngereport kumbe ilikuwa ni interview du hii kweli kaz kweli kweli
 
Back
Top Bottom