Mwenye Update za Mwanza Community Bank

Mwenye Update za Mwanza Community Bank

Nilireport hiyo email ya prevent corruption. Baada ya kutumiwa msg ya kuombwa pesa. Wakanijibu kuwa watafuatilia ni nani anafanya hayo mambo ya kuomba watu pesa. Then baada tena ya siku 3. Nikapata tena mail kutoka kwa pius mwenyewe haikueleza kitu ila ni details zake tu. Email phone ni na position yake. Jmn nikashidwa walimaanisha nin au nijibuje?
 
in my view ipo hivi, uwenda walitumia vigezo vyote ikiwemo results ya aptitude test plus kureport corruption, cz ndiyo naweza kureport corruption bt ukichek kwny tokeo la aptitude test cjafikisha mark yao or ndio nimepass aptitude test bt i was nt attention to the detail ya kureport corruption obvious nitakuwa cjaqualify. inorder to qualify i have to do both pass aptitude test and report corruption. This z my view.
 
May be...lkn sina imani nao kiviileee.
 
kila la heri, ila mm nlfka mcb kuulizia kama kuna kazi ziltangazwa kupitia quality service jibu nililoambiwa ni hakuna tangazo la kazi kuptia quality service
 
mbona twalazimisha kutapeliwa?maana kuna mwanajamii kafika hadi office za mcb wakamwambia hawajatangaza ajira wewe umekazana mwanza mwanza wale ni matapel shukur mungu hukuingia mkengee na achana na story zao.
 
hata ningekuwa mm MCB ukaja kuniuliza hlo swali la kuwa tumetoa nafasi za kazi Ningekwambia hatujatoa as long
as kuna watu tumewaachia jukumu la kuajiri independently tokana na mahitaji yetu xaxa mtu tu ambaye hatuna ubia naye wowote kuna haja gani ya kumwambia? ili afanyaje xaxa?
 
Wajinga ndio waliwao, na msije kuanzisha tena uzi wa malalamiko mnatujazia server
Tuwape muda tena, Unajua imani ilitoweka kwao walipotutumia shortlisted wote ile msg ya kuomba rushwa ila tulisahau kuwa kwnye maelezo yao kwny ile email ya kwnz paragraph ya mwisho iliandikwa
NOTE: help to prevent corruption:if u encounter any case of corruption report via mail adress wakaiandka hyo mail addres ya kureport
Tukasahau kumbe hyo nayo ilikuwa part ya interview.
Ushuhuda binafsi: nilireport tena kwa kutaja jina la aliyeniomba rushwa na msg ilivyosema pia ckutoa hata senti moja iliyofanya nijibiwe kuwa nimesuccess for job trainee kwa mantiki hyo bac sawa cna imani asilimia 100 ila nina imani kwa kiasi chake cha kusubiri tuone itakuwaje. tukiendelea kufanya application.
 
Back
Top Bottom