Mwenye Update za Mwanza Community Bank

Mwenye Update za Mwanza Community Bank

mwenye taarifa kuhusu mwanza community bank tafadhari,hawajaanza kuita watu kwenye interview?
 
Wamesha chagua watu 50 ambao tayari wamepewa aptitude test ya kufanya online... kama hukupata email yoyote basi ujue haujachaguliwa katika next round ya mchujo
 
Hawa jamaa ni matapeli kweli,mimi nilituma e mail haiba attachment yeyote ile lakini eti nimekua shortlisted!
 
Chakushangaza mimi nilituma e-mail isiyo na attachment yeyote yaani siku attach cv lakini nimekua shortlisted kivip?kama sio magumash hao jamaa
 
hahaha. kama hela hakuna kutoa. ni kusubir wakuambie umepita uone itakuwaje
 
kama walikutumia email unatakiwa kuijibu na kusubir majibu we unafatiria nini wakati mchakato bado waendelea hujaombwa hata tsh 1,acha kuhisia watu vibaya mapema hii.
 
Wapendwa au mpaka itimie tarehe 20 mwezi huu ndo tujue majina yetu kama wametuchagua au kuna yeyote kapata news mpya?
 
Wapendwa au mpaka itimie tarehe 20 mwezi huu ndo tujue majina yetu kama wametuchagua au kuna yeyote kapata news mpya?

Nimesikia hao jamaa ni matapeli sasa sijui kuna ukweli wowote hapo!maana kuna mwana jf mwenzetu kaweka thread yake asubuhi kua ametumiwa sms na MWESIGA PIUS kwamba amtumie laki tatu ili mambo yake amuwekee sawa!jamani tujaribu kufanya upelelezi wa kina kwenye hili swala!
 
Na mimi niliapply interview yao nishafanya sasa kama matapeli tena c ndo balaa
 
Ngojen 2subiri kwan mwenye macho haambiwi tazama itafika2 iyo tarehe 20
 
Back
Top Bottom