cha msingi ni kuwapigia mcb wenyewe na uwe ume save hiyo message iwapo Pius ni agent wa kuajiri
Mwenye hii namba anasambaza msg ya kuomba tsh laki 3 apitishe aptitude test na ukiwa kwenye training umpe tena laki moja 0764171699 amesajili kwa jina la mwesiga pius
hakuna kazi hapo ni utapeli ndio unaoendelea.
Mwenye hii namba
anasambaza msg ya kuomba tsh laki 3 apitishe aptitude test na ukiwa
kwenye training umpe tena laki moja 0764171699 amesajili kwa jina la
mwesiga pius[/QUOTE
ni moja ya kupunguza watu na kupata waliowaaminifu na ndo maana walitoa email ya kureport rushwa....wanafanya hivyo makusudi na walioripot ndo watakaochaguliwa coz bank haihitaji mtu mla rushwa
Tuwe na subira kidogo,,ila mimi mwenyewee nimetumiwa msg asubuhi na MWESIGA PIUS akinitaka nimtumie hela na nimeangalia no. Kwenye Mpesa ni ya Mwesiga,,,sasa sielewi kama ni Hacking au huyu jamaa ni mfanyakazi wao,,,ila tuwe makini jamani watu wamekuwa maptapeli
me walinitumia sms kama wengine.ww umepigiwa simu?
kwel ulifanya ile aptitude test walotoa?duh. mm hajanitumia sms,akituma itakuwa imekula kwake.