Mwenye uhitaji wa Dada wa Kazi anione PM

Mwenye uhitaji wa Dada wa Kazi anione PM

Merry Xmas !
Kuna mdada anaomba kama Kuna mtu mwenye uhitaji wa mdada wa kazi ajitokeze
Ana miaka 25
Anajua kupika
Anajua kufua
Anaweza kupanga nyumba vizuri

Kazi ya duka anaweza pia.....

Mshahara mtaelewana kulingana na kazi za nyumbani au duka
Vipi amepata sehemu au bado?
 
Weka namba zako ama za kwake za simu mbona Kama unaonyesha maringo kisa ni mdada uje kutongozwa ama kubembelezwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom