Mwenye uhitaji wa Dada wa Kazi anione PM

Mwenye uhitaji wa Dada wa Kazi anione PM

Merry Xmas !
Kuna mdada anaomba kama Kuna mtu mwenye uhitaji wa mdada wa kazi ajitokeze
Ana miaka 25
Anajua kupika
Anajua kufua
Anaweza kupanga nyumba vizuri

Kazi ya duka anaweza pia.....

Mshahara mtaelewana kulingana na kazi za nyumbani au duka
Wadada wa kazi wa sasa hivi ni majanga sana ,enzi tunakua walikuwa madada hasa wenye heshima ila wa sasa hivi ni WEZI ,WASHIRIKINA ,MAKATILI hadi inaogopesha ,mimi sipendi madada wa kazi ,ni bora nimchukue ndugu aje kukaa na kusaidia kazi na si madada wa kazi kutoka mkoani....NOPE.
 
Wadawa wa kazi wa sasa hivi ni majanga sana ,enzi tunakua walikuwa madada hasa wenye heshima ila wa sasa hivi ni WEZI ,WASHIRIKINA ,MAKATIRI hadi inaogopesha ,mimi sipendi madada wa kazi ,ni bora nimchukue ndugu aje kukaa na kusaidia kazi na si madada wa kazi kutoka mkoani....NOPE.
Siku hizi hii ni Ajira kama zilivyo ajira nyingine. Analipwa 300,000 na kulipa NSSF. Anaishi kwake, si kwako. Malipo yake ni jumla ya 330,000 bahati PAYE ni sifuri. Likizo 28 days kWa mwaka. Mallerina
 
Hapo sawa kama wapo professional ,wanaongozwa na sheria za kazi kuliko kuchukuia kienyeji enyeji na kuwalipa elfu 50 na ndiyo maana wanafanya mambo ya ajabu....Box 3 kwa Mercury(Hg) inafaa.
 
Hapo sawa kama wapo professional ,wanaongozwa na sheria za kazi kuliko kuchukuia kienyeji enyeji na kuwalipa elfu 50 na ndiyo maana wanafanya mambo ya ajabu....Box 3 kwa Mercury(Hg) inafaa.
Ukichunguza vizuri, gharama zake kama unamlipa 50,000 hazipishani na hiyo 330,000 ambayo akifanya Ndivyo sivyo unamburuza kwa pilato. Hawi hg bali Mfanyakazi wa Nyumbani
 
Naweza kua nahitaji binti wa kazi au hata kama sio mimi naehitaji kunaweza kua na rafiki yangu anahitaji lakini hili la kuvutana PM mbona halilindi usiri wa mtu.

Next time ukija na tangazo la namna hii we weka number moja kwa moja.
 
Hana simu kwa sasa hivi ila ntwjitahidi nimsupport kwenye simu
 
Merry Xmas !
Kuna mdada anaomba kama Kuna mtu mwenye uhitaji wa mdada wa kazi ajitokeze
Ana miaka 25
Anajua kupika
Anajua kufua
Anaweza kupanga nyumba vizuri

Kazi ya duka anaweza pia.....

Mshahara mtaelewana kulingana na kazi za nyumbani au duka
Allahumna amiin
Nakuja pm
Mwambie ajiandae kulea mtoto wangu mmoja wakike nitamchukua Kwa bibi yake Kwa Sasa naishi mwenyewe twende PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom