Mwenye uhitaji wa Dada wa Kazi anione PM

Mwenye uhitaji wa Dada wa Kazi anione PM

Kama unatka upo serious nione kama haupo serious basi
Nataka mdada wa kazi...
Anatokea mkoa gani?
Anatarajia mshahara kiasi gani?
Kazi ni nyingi siyo chache...
Wakulala au wakutwa?
Je wewe ndiyo utakua mdhamini wake au Incase anything happen?
 
Nataka mdada wa kazi...
Anatokea mkoa gani?
Anatarajia mshahara kiasi gani?
Kazi ni nyingi siyo chache...
Wakulala au wakutwa?
Mshahara 120k kama hufiki bei mtaelewana
Ni WA kulala
Atapika
Atafua
Atapanga nyumba
 
Dah! Watu mna mioyo ya huruma na utu,ahsante dada Mallerina kwa kumtafutia kazi huyo dada! Natumai amepata,kama ajapata hapa jf basi jaribu Fb ambako watu wengi zaidi wapi huko. naomba unipe mrejesho baada ya dada kupata kazi.
 
Nna kabiashara kangu nimeajiri kabinti kameshayumbisha mahusiano yangu, kamewatambia boda kuwa mi n mwanaume wakr mpaka habari zimemfikia mamtu wangu. Pumbavu
Kama ni ukweli ni mwanamke wako pole kwa yy kukuvurugia ndoa
Ila usimtumie kosa la mtu mwingine kuhukumu wadada wote wa kazi..
 
Merry Xmas !
Kuna mdada anaomba kama Kuna mtu mwenye uhitaji wa mdada wa kazi ajitokeze
Ana miaka 25
Anajua kupika
Anajua kufua
Anaweza kupanga nyumba vizuri

Kazi ya duka anaweza pia.....

Mshahara mtaelewana kulingana na kazi za nyumbani au duka
Ana sifa zote za kuwa msaidizi wa nyumban.
Je ana matako makubwa cz Ctak mkuki nyumban kwangu....?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom