kunawatu mnanifurahisha kweli. kanci ketu haka Tanzania kenye miaka 51 ya uhuru unakalinganisha na marekani more than 150 ya uhuru jamani. Unataka ukilala ukiamka tu, jinsi New York ilivyo basi na Dar es salaam iwe ivyo ivyo, unataka the way MIAMI ipo basi na Mwanza au Arusha iwe hivyo! Jamani hao walisha tutangulia. kama ni mwana historia mzuritunapopita nawao walipita so wao walipo leo ndio future yetu sisi miaka 150 ya uhhuru ijayo. wakati wao feture yao wanaijua wao.
Mshahara ni haki ya mtumishi. we unaye sema tuige marekani mara masaa sijui yamefanyaje kwa siku sawaaaaa, lakini kaka hicho unachokisema kinawezekana sasa? miundombinu tuliyo nayo inaruhusu utaratibu huo? mfano mdogo tu, mpaka leo taarifa za mtumishi basicaly still zipo interms of hard copy kwa asilimia 75% na zilizo baki ni softy copy. kufanya ugumu wa kupandisha madaraja, kupata stahik kama mtumishi kwani inabidi kuzungusha faili kwenye maofisi ya maafisa utumishi, mkurugenzi wakuu wa idara na n.k
je wajua wenzio karne hii wako ki soft copy zaidi, ambapo 90% ya data zao ni katika mfumo wa computer zaidi, nikwa sababu wame expand kiteknolojia na kufikia hapo. so waache watu walipwe kwa system hii. kwa ufupi watumishi Mishahara sehemu kubwa ni kuanzia tarehe 2 mpaka 6. tuwe wavumilivu na tutumie kidogo ulicho nacho kvizuri, mazoea yana tabu jamani!