huko kwenu wapi?
Kuna haja kubwa ya watumishi wa umma kujifunza namna ya kupata kipato mbadala vingnevø nahisi hatari zaidi siku za mbele. Wakati huu wa amani mambo hvi, je siku hali ya nchi ikiwa unstable kuna wezekano 6months without pay.mshahara mpaka leo kimya vp kulikoni? maana sio kawaida. mwenye report atujuze.
mshahara mpaka leo kimya vp kulikoni? maana sio kawaida. mwenye report atujuze.
Ni kwamba siyo kawaida, hoja ndio ipo hapo,
sasa wewe unazungumzia henzi ambazo hata hazina mashiko,
zungumza kuhusu leo na kesho, kilichopita ni historia mkuu.
Jibu why imechelewa na matumaini ya wadau ni lini,
au ndo serikali haijibu hoja kwenye mitandao?
mnsaidiwa msizimalize Kabla Ya Krismasi Manake Wengi wenu mnasubiriwa Na nyumba ndogo mkazifanyie shopping, af big hausi mtazipa nn?
November haijaisha tunalalamika, je serikali ikiamua mshahara utoke Desember 5 si mtachukua majambia? Kuweni wavumilivu pesa zitawafikia tu.
Hela hamna,wafanyabiashara wamegoma kununua mashine za EFD,
Umenena, tunapotaka mishahara itufikie November wakati ndio bajeti ya Mwezi wa 12 maana yake tunataka ifikapo X-mass tuwe tumeishiwa. Wengine wanafikiria leo tu si kesho ndio maana kuna wanaopenda kama wangepata kabla ya ya muda kufika.
Ukweli bongo tumezoeshwa vibaya, nchi zilizoendelea mshanara humfukia mtu baada ya kumaliza huo muda anaolipwa msharana na baada ya kufanya tathmini ya mengi ikiwemo mahudhurio yake, kwa maana hiyo msharaha ungetazamiwa kuwafikia mwishoni mwa wiki ya kwanza ya mwezi Desemba.