Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

Hahahahahahahahahaha
Huwezi kumlazimisha kukaguliwa
hebu kwanza niambie shem marejesho anaendeleaje sio unazunguka tu huku wakati umemuacha peke yake!

Alaf nime karibia kukusue kwa kumsumbua akanana wangu!


Taratibu na mdomo wako!! Nimekwambia swala la kukaguliwa ni lazima. Hakuna mjadala!
 
Last edited by a moderator:
passion lady umeshasema siri,
siri ipo moyoni,
ila mumeo mtarajiwa anaweza kukufumbulia hili fumbo.
we subiri tu leo labda asije kunisalimia kwetu,hii ndoa inaanza kunipa mashaka kabisa!ndio maana mpaka saa hizi sijamuona!sijui mahari irudishwe tu?ila ngoja aje aniambie nishachanganyikiwa hapa nilipo!
 
passion lady ulipomkuta handsome boy kama Ruttashobolwa
ukajua mama yake alikuzalia wewe peke yako tu?

we subiri tu leo labda asije kunisalimia kwetu,hii ndoa inaanza kunipa mashaka kabisa!ndio maana mpaka saa hizi sijamuona!sijui mahari irudishwe tu?ila ngoja aje aniambie nishachanganyikiwa hapa nilipo!
 
Last edited by a moderator:
passion lady japo sihusiki moja kwa moja but hakunaga kuachana kuna utengena tu.
Ndio ni wangu peke yangu,kwani c amenichagua mimi,au na ww nyumba kubwa nyingine nini?nimekushtukia Mamndenyi,kua muwazi kama na wewe ni mmoja wa wahanga walioachwa heheee,mi acha nifrai!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom