Polepole is coming to a rescue of a sinking boat!Kama picha inavyojieleza, haya wataalam wenye kujua tafsiri kazi kwenu
1. Mcheki nahodha wa chombo, anapiga vipi makasia? Kwa staili yake chombo hakiwezi kusonga mbele.Kama picha inavyojieleza, haya wataalam wenye kujua tafsiri kazi kwenu
1: Mtumbwi una matobo ya hatari, unaingiza maji kwa style ya kuyarusha juu halafu yanadondoka kama matone ya mvua kubwa.Kama picha inavyojieleza, haya wataalam wenye kujua tafsiri kazi kwenu
Kama picha inavyojieleza, haya wataalam wenye kujua tafsiri kazi kwenu
Umejitahidi mkuu1. Mcheki nahodha wa chombo, anapiga vipi makasia? Kwa staili yake chombo hakiwezi kusonga mbele.
2. Mcheki kichwa, yeye anajikinga na mwavuli bila kujua hatari ya maji yanayoingia chomboni ni kubwa zaidi ya maji anayozuia na mwavuli.
3. Mcheki fasta fasta, muda si mrefu pumzi itamwishia maana matundu ni mengi naye anafanya kazi ya mtu mmoja tu.
Kwa hiyo anaangalia kinakotoka na hana wala hataki kujua kinakwenda wapi na kimefika wapi???Wa katikati anaangalia chombo kinakoenda au kinakotoka?
Duuu umeniuaMmmmh kidevu na kichogo na kipaji cha uso utadhani Shetani linapita baharini kuangalia himaya yake ya uovu