Tafsiri sahihi ya Red Sea ni Bahari ya Shamu au Nyekundu?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Natatanishwa kidogo na tafsiri ya "Red Sea".

Nimejaribu kutafuta kwenye "Google" majina yote mawili nimekuta ni kitu kimoja sasa tafsiri sahihi ya bahari hii ni ipi?
 
Back
Top Bottom