Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,189
- 8,217
Habari
Tafadhali mwenye kujua huu mti unaitwaje kitaalam na kiasili? Pia una faida gani kitabibu maana mke wangu aliupanda kama maua lakini kuna siku kuna Mama alitoka mbali kuja kuuhitaji( ukiwa bado mdogo) na alikuwa tayari kumlipa hata laki moja lakini mke wangu alimkatalia kumpa sasa umekuwa ningependa kujua kwenu wataalam kama kuna mtu yoyote anaufahamu