Hujanizidi mimi hii thread nimesoma yote nikiwa nacheka. Yani kupitia huu uzi waweza jua jinsi gani aliejikinga na mwanvuli watu walivomchoka[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wallah nimecheka had watu wananishangaa khaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha ckugundua mkuu kwelLakini analowa coz mwamvuli unamkunga juu tu na maji yanatoka chini
Umetisha mkuuKwanza ieleweke kwamba,
1. Hayo maji siyo ya mvua bali ni maji yanayoingia chomboni kwa kasi kupitia matundu yaliyopo kwenye sakafu ya boti.
2. Mheshimiwa anaonekana kutokifahamu chombo na kutokua na uwezo wa kutofautisha matukio, hiyo inathibitishwa na kitendo chake cha kujikinga na mwamvuli wakati maji si ya mvua bali ni ya mtu wausafirio ambayo yanaingia chomboni kupitia matundu yaliyopo kwenye chombo.
3. Pamoja na jitihada na watu wengine wawili waliomo chomoni, mmoja akijaribu kupunguza maji huku mwingine akipiga makasia lakini kati yao hakuna mwenye uwezo na ujasiri wa kumuambia ukweli mheshimiwa kwamba maji yale hayatokani na mvua bali matundu ya chombo.
4. Mheshimiwa anaonekana kutojua jukumu lake la kuendesha chombo na hivyo kumuachia msaidizi waki kazi ya kupiga makasia.
*******TUTAFIKA TU************
Kifike Salama wakati kageukia upande mwingineNdani ya sisiem kuna fukuta inampekekea sizonje ajingine na watu wake wenyewe huku uongozi ukiwamwaga nje. Katibu yuku bze kukiendesha chombo kifike salama
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] we noma sanaa!Mmmmh kidevu na kichogo na kipaji cha uso utadhani Shetani linapita baharini kuangalia himaya yake ya uovu
Chora wakoMchoraji licha ya kwamba ni mbumbumbu was Siasa, hata mchoro wake haujielezi kama alivyodhamiria.
Sawa. Umetafsiri sahihi. Katibu mkuu anaendesha (chama), M/kiti kama abiria,maana yake kama mwanachama wa kawaida, maana mwendeshaji ni katibu mkuu.Pol
Polepole is coming to a rescue of a sinking boat!
1: Mtumbwi una matobo ya hatari, unaingiza maji kwa style ya kuyarusha juu halafu yanadondoka kama matone ya mvua kubwa.
Jamaa mmoja anaonekana akiwa bize kuyachota hayo maji kwenye mtumbwi na kuyamwaga ili mtumbwi usizame.
Mwingine yuko bize kupiga makasia, katika style ambayo mtumbwi unazunguka tu, hauwezi kwenda kokote unabaki kina kirefu!
2: Kuna jamaa hapo kati, (huyo mwenye kichwa cha ki peke yake) yeye akili yake inamtuma kujikinga kwa mwavuli tu.
(Alitakiwa kuhakikisha mtumbwi hauvuji na unaendelea na safari!!)
Kwa maji hayo ninavyoyaona, huyo jamaa anaechota hawezi, atachoka tu! mwisho watazama wote!
1. Mcheki nahodha wa chombo, anapiga vipi makasia? Kwa staili yake chombo hakiwezi kusonga mbele.
2. Mcheki kichwa, yeye anajikinga na mwavuli bila kujua hatari ya maji yanayoingia chomboni ni kubwa zaidi ya maji anayozuia na mwavuli.
3. Mcheki fasta fasta, muda si mrefu pumzi itamwishia maana matundu ni mengi naye anafanya kazi ya mtu mmoja tu.
njaa mbaya hukushushia heshima yakoKama picha inavyojieleza, haya wataalam wenye kujua tafsiri kazi kwenu![]()
Hujafa hujaumbika ewe mjaHilo jamaa lenye mbichwa km papai pori silipendi asilani