Kwanini Serikali inawahudumia Wazinzi na Mateja bure, wakati wagonjwa wa Saratani, Figo, Kisukari wanakufa bila msaada?

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
7,047
13,700
Watanzania wenzangu wazalendo wa nchi hii habari za muda huu?

Moja kwa moja kwenye mada.
Naomba mwenye kujua atwambie ni kwanini Serikali yetu pendwa kwa awamu zoote imeendelea kuwahudumia dawa za kufubaza makali ya HIV na Uteja/arosto huku wagonjwa wenye magonjwa yasiyo ambukizwa wakifa kwa kukosa matibabu, wamama wanakufa wakijifungua huku pesa takribana Tirion 2.5 zikinunua ARV?

Mwenye majibu
Dar es Salaam. Imefahamika kuwa kila mwathirika wa virusi vya Ukimwi anayetumia dawa za kufubaza makali ya ugonjwa huo (ARV) hutumia dawa zenye thamani mpaka Dola 58.20 ambazo ni wastani wa Sh135,780 kwa kila mwezi.

Hii ni kwa mujibu wa mahesabu ya bei ya dawa ya kiwandani, inamaanisha kuwa kulingana na idadi ya waathirika wanaotumia dawa za kufubaza makali ya VVU nchini ambao ni 1,507,686, ikiwa Tanzania itagharamia fedha za kununua dawa, itahitaji Sh204.713 bilioni kwa mwezi mmoja pekee.

Hayo yameibuka siku moja tangu gazeti hili lichapishe habari kuhusu ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Ukimwi (Unaids) iliyobainisha kuwa wafadhili waliotunisha mfuko wa kushughulikia Ukimwi, malaria na kifua kikuu (Global Fund) wameanza kuelekeza fedha nyingi kwenye maeneo mengine ambayo yamesababisha mdororo wa kiuchumi. Wamesema kuwa gharama hizo ni kwa ajili ya dawa za ARV pekee kwa mwezi, huku kukiwa na gharama nyingine za vipimo na afua nyingine, ikiwemo ushauri na kuonana na wataalamu wa afya, mbali na huduma nyingine za kukinga na kuelimisha jamii juu ya ugonjwa huo.

Meneja mwandamizi wa programu kutoka shirika la Elizabeth Glaser Pediatric Aids Foundation (Egpaf) la nchini, Dk Juma Songoro aliliambia Mwananchi kuwa mgonjwa mmoja hutumia Dola za Marekani 58.20, sawa na Sh135,780 kwa mtu mzima na Dola 9.50 sawa na Sh22,163 kwa mtoto mdogo kwa ajili ya dawa za kufubaza makali pekee.

Gharama hizo ndizo hutumika kimataifa, imeelezwa kuwa huendelea kupungua kutoka kiwandani mpaka kumfikia mlaji kutokana na ufadhili mbalimbali.

Hata hivyo, Mkuu wa kitengo cha habari serikalini Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids), Nadhifa Omary aliliambia Mwananchi kuwa mgonjwa mmoja anayetumia dawa za kufubaza makali ya VVU hutumia kiasi cha Dola za Marekani kati ya 112 mpaka 120, sawa na Sh 261,296 hadi Sh279,960 kwa mwaka.

Akiwasilisha bajeti yake ya mwaka 2022/23, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alisema hadi kufikia Desemba 2021, Tanzania ilikuwa na jumla ya watu 1,795,905 wanaokadiriwa kuishi na virusi vya Ukimwi, kati ya hao 1,507,686 walikuwa wameanza kutumia dawa za kufubaza makali.

Alisema wanaotumia dawa kinga ya PreP ni walengwa 13,285 na kwamba Serikali ilitenga Sh26.608 kusimamia utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi.

Kwa kuzingatia ushahidi mpya uliotathmini faida na hasara, Julai 22, 2019 Shirika la Afya Duniani (WHO), katika mapambano dhidi ya virusi vya Ukimwi, lilipendekeza matumizi ya dawa za Dolutegravir (DTG) kama njia ya kwanza na ya pili ya matibabu inayopendekezwa kwa watu wote ambapo vidonge vya siku 30 hugharimu Dola 58.20.

Mapendekezo

Katika kupambana na hali hiyo, wadau wamependekeza Serikali iweke mfumo rafiki wa uwazi utakaotoa ripoti ya kila mwaka kuhusu mapato na matumizi ya fedha zinazoshughulikia VVU, ikiwemo kutengeneza mfumo utakaokusanya rasilimali fedha za ndani kushughulikia janga hilo.

Akitoa maoni yake, Mwenyekiti wa Mtandao wa Taifa wa wanawake wanaoishi na VVU Tanzania (NNW+), Veronica Lyimo alisema ili wadau hata mtu mmoja mmoja na sekta binafsi wachangie ni vema kuwe na uwazi katika rasilimali fedha, namna ya utendaji kazi, kuboresha kwenye mapungufu ili kuondokana na hali ya utegemezi kutoka kwa wafadhili.

Lyimo alisema kuna haja ya kuboresha bajeti inayotengwa na Serikali, kutunisha mfuko wa kupambana na VVU na vyanzo vingine vya mapato kutoka sekta binafsi na wachangiaji wa mfuko, ili kuwe na mfuko ambao wafadhili watajitokeza.

Kwa upande wa Meneja wa Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi Tanzania (ATF), Peter Kivugo alisema bado hakuna mwamko wa uchangiaji wa mfuko huo, juhudi mbalimbali zinaendelea na hivi karibuni waliingia makubaliano na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na wamekuwa wakifanya nao kazi.
 
Watanzania wenzangu wazalendo wa nchi hii habari za muda huu?

Moja kwa moja kwenye mada.
Naomba mwenye kujua atwambie ni kwanini Serikali yetu pendwa kwa awamu zoote imeendelea kuwahudumia dawa za kufubaza makali ya HIV na Uteja/arosto huku wagonjwa wenye magonjwa yasiyo ambukizwa wakifa kwa kukosa matibabu, wamama wanakufa wakijifungua huku pesa takribana Tirion 2.5 zikinunua ARV?

Mwenye majibu
Dar es Salaam. Imefahamika kuwa kila mwathirika wa virusi vya Ukimwi anayetumia dawa za kufubaza makali ya ugonjwa huo (ARV) hutumia dawa zenye thamani mpaka Dola 58.20 ambazo ni wastani wa Sh135,780 kwa kila mwezi.

Hii ni kwa mujibu wa mahesabu ya bei ya dawa ya kiwandani, inamaanisha kuwa kulingana na idadi ya waathirika wanaotumia dawa za kufubaza makali ya VVU nchini ambao ni 1,507,686, ikiwa Tanzania itagharamia fedha za kununua dawa, itahitaji Sh204.713 bilioni kwa mwezi mmoja pekee.

Hayo yameibuka siku moja tangu gazeti hili lichapishe habari kuhusu ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Ukimwi (Unaids) iliyobainisha kuwa wafadhili waliotunisha mfuko wa kushughulikia Ukimwi, malaria na kifua kikuu (Global Fund) wameanza kuelekeza fedha nyingi kwenye maeneo mengine ambayo yamesababisha mdororo wa kiuchumi.wamesema kuwa gharama hizo ni kwa ajili ya dawa za ARV pekee kwa mwezi, huku kukiwa na gharama nyingine za vipimo na afua nyingine, ikiwemo ushauri na kuonana na wataalamu wa afya, mbali na huduma nyingine za kukinga na kuelimisha jamii juu ya ugonjwa huo.

sababu wagonjwa wa figo na kisukar na saratan n walafi...bora serikali ihudumie wazinzi na mateja tuu😂🤣😅😆😁😄😃😀
 
Ndio hiyo baadhi ya inayoitwa misaada ya kibinadamu toka kwa wahisani.

Ipo hivi, wanatuona maboya hivyo wanasaidiaga shughuli ambazo hazijengi nchi wala ila zinasapoti ujinga mfano vilainishi kwa wale mafala.

Yaani, hizo dolari zinazopelekwa kwenye viwanda na ujasiriamali zinakuwa chache halafu kwenye ujinga ndio zinakuwa nyingi.

Jambo hili lina madhara makubwa sana kwenye maendeleo ya nchi maana fedha siku zote zinatakiwa kuelekezwa kwenye shughuli zinazoleta tija kwa jamii na sio 'kuokoa'.

Sema huruma huwa na mvuto sana kisiasa kuliko haki. Ndio maana unaona matendo ya huruma kwa waathirika yametamalaki kuliko kuunga mkono 'wababe' na wanaojitafuta. Tumesahau kuwa sio huruma bali ni HAKI NDIO HUINUA TAIFA
 
Watanzania wenzangu wazalendo wa nchi hii habari za muda huu?

Moja kwa moja kwenye mada.
Naomba mwenye kujua atwambie ni kwanini Serikali yetu pendwa kwa awamu zoote imeendelea kuwahudumia dawa za kufubaza makali ya HIV na Uteja/arosto huku wagonjwa wenye magonjwa yasiyo ambukizwa wakifa kwa kukosa matibabu, wamama wanakufa wakijifungua huku pesa takribana Tirion 2.5 zikinunua ARV?

Mwenye majibu
Dar es Salaam. Imefahamika kuwa kila mwathirika wa virusi vya Ukimwi anayetumia dawa za kufubaza makali ya ugonjwa huo (ARV) hutumia dawa zenye thamani mpaka Dola 58.20 ambazo ni wastani wa Sh135,780 kwa kila mwezi.

Hii ni kwa mujibu wa mahesabu ya bei ya dawa ya kiwandani, inamaanisha kuwa kulingana na idadi ya waathirika wanaotumia dawa za kufubaza makali ya VVU nchini ambao ni 1,507,686, ikiwa Tanzania itagharamia fedha za kununua dawa, itahitaji Sh204.713 bilioni kwa mwezi mmoja pekee.

Hayo yameibuka siku moja tangu gazeti hili lichapishe habari kuhusu ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Ukimwi (Unaids) iliyobainisha kuwa wafadhili waliotunisha mfuko wa kushughulikia Ukimwi, malaria na kifua kikuu (Global Fund) wameanza kuelekeza fedha nyingi kwenye maeneo mengine ambayo yamesababisha mdororo wa kiuchumi.wamesema kuwa gharama hizo ni kwa ajili ya dawa za ARV pekee kwa mwezi, huku kukiwa na gharama nyingine za vipimo na afua nyingine, ikiwemo ushauri na kuonana na wataalamu wa afya, mbali na huduma nyingine za kukinga na kuelimisha jamii juu ya ugonjwa huo.

Meneja mwandamizi wa programu kutoka shirika la Elizabeth Glaser Pediatric Aids Foundation (Egpaf) la nchini, Dk Juma Songoro aliliambia Mwananchi kuwa mgonjwa mmoja hutumia Dola za Marekani 58.20, sawa na Sh135,780 kwa mtu mzima na Dola 9.50 sawa na Sh22,163 kwa mtoto mdogo kwa ajili ya dawa za kufubaza makali pekee.

Gharama hizo ndizo hutumika kimataifa, imeelezwa kuwa huendelea kupungua kutoka kiwandani mpaka kumfikia mlaji kutokana na ufadhili mbalimbali.

Hata hivyo, Mkuu wa kitengo cha habari serikalini Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids), Nadhifa Omary aliliambia Mwananchi kuwa mgonjwa mmoja anayetumia dawa za kufubaza makali ya VVU hutumia kiasi cha Dola za Marekani kati ya 112 mpaka 120, sawa na Sh 261,296 hadi Sh279,960 kwa mwaka.

Akiwasilisha bajeti yake ya mwaka 2022/23, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alisema hadi kufikia Desemba 2021, Tanzania ilikuwa na jumla ya watu 1,795,905 wanaokadiriwa kuishi na virusi vya Ukimwi, kati ya hao 1,507,686 walikuwa wameanza kutumia dawa za kufubaza makali.

Alisema wanaotumia dawa kinga ya PreP ni walengwa 13,285 na kwamba Serikali ilitenga Sh26.608 kusimamia utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi.

Kwa kuzingatia ushahidi mpya uliotathmini faida na hasara, Julai 22, 2019 Shirika la Afya Duniani (WHO), katika mapambano dhidi ya virusi vya Ukimwi, lilipendekeza matumizi ya dawa za Dolutegravir (DTG) kama njia ya kwanza na ya pili ya matibabu inayopendekezwa kwa watu wote ambapo vidonge vya siku 30 hugharimu Dola 58.20.

Mapendekezo

Katika kupambana na hali hiyo, wadau wamependekeza Serikali iweke mfumo rafiki wa uwazi utakaotoa ripoti ya kila mwaka kuhusu mapato na matumizi ya fedha zinazoshughulikia VVU, ikiwemo kutengeneza mfumo utakaokusanya rasilimali fedha za ndani kushughulikia janga hilo.

Akitoa maoni yake, Mwenyekiti wa Mtandao wa Taifa wa wanawake wanaoishi na VVU Tanzania (NNW+), Veronica Lyimo alisema ili wadau hata mtu mmoja mmoja na sekta binafsi wachangie ni vema kuwe na uwazi katika rasilimali fedha, namna ya utendaji kazi, kuboresha kwenye mapungufu ili kuondokana na hali ya utegemezi kutoka kwa wafadhili.

Lyimo alisema kuna haja ya kuboresha bajeti inayotengwa na Serikali, kutunisha mfuko wa kupambana na VVU na vyanzo vingine vya mapato kutoka sekta binafsi na wachangiaji wa mfuko, ili kuwe na mfuko ambao wafadhili watajitokeza.

Kwa upande wa Meneja wa Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi Tanzania (ATF), Peter Kivugo alisema bado hakuna mwamko wa uchangiaji wa mfuko huo, juhudi mbalimbali zinaendelea na hivi karibuni waliingia makubaliano na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na wamekuwa wakifanya nao kazi.
Satanic government
 
Una hoja Ila unabidi kujua , ukimwi na uteja huwa vinampata MTU Kutokana na yeye kuwa victim wa jambo Fulani .hivyo matumizi ya akili yanabidi kuwa juu Sana kuliko hisia mseto.

Hivyo kuwanyima vidonge vya ukimwi au uteja sio jambo la busara kwani kama tunavyojua huwa kuna wakati binadamu Anaweza kujikuta kapata
Janga au tatizo bila kupenda mfano watoto waliozaliwa na ukimwi n.k.

Kilichopo serikali ili kuwasaidia wagonjwa wa figo na kansa nikuendelea kutoa Elimu , na kubana matumizi ambayo sio ya lazima na hela kuelekezwa uko kwa wahitaji.
 
Kwanini wasilipie??
 
Kwani, hao wenye hayo magonjwa mengine siyo wazinzi? Maana magonjwa yasiyoambukiza, mengine huibuka au hupamba moto baada ya kupata magonjwa nyemelezi ikiwemo UKIMWI! Ndo maana Bwana Yesu alisema, "yule ambaye ni msafi, awe wa kwanza kumpiga mawe yule mwanamke malaya"; na wote walinywea! Hata wewe unayeshauri "wazinzi" wasipewe dawa, ni mzinzi pia!
 
Back
Top Bottom