Ili tuonekane tuna wataalam. Tuonekane na nani? Nilidhani tuna tatizo linatuathiri, kumbe ni suala la kuonekana. Ili tuonekane tuna wataalam, kwani tunao?ili ionekane tuna wataalamu wanaojenga barabara za karne hii.

Inaonekana hujui maana ya U-turn...mfano, ukiwa unatokea lugalo ukafika kanisani (mbele ya kwa komba) kuna uwazi unaruhusiwa kuingia barabara ya upande wa pili na kuunganisha barabara inayokupeleka mpaka raibow....(huwezi kuita hiyo ni u-turn)....U turn ni pale unapotokea lugalo afu ukageuza na kurudi mwengeInachekesha zaidi kuanzia tangi bovu hadi africana nadhani alama ya uturn imekuwa crossed ikimaanisha hairuhusiwi kufanya uturn, sasa kiuhalisia sijui mtu ukiwa unauhitaji wa kuvuka upande wa pili sehemu sahihi ya kugeuza sijui ni wapi
Hizo alama za kuzuia uturn mtoe tu jmn mana uturn zafanyika kama kawaida popote mtu anapohitaji
Na kuna service road flan hivi wanajenga smwhr around shule across shamo towers kwenda tangi bovu imalizieni basi itumike,asubuhi mara ukute traffic wanakamata watu pale anyway labda coz haijaisha ujenzi, otherwise lengo la service road ni nini,
Mwisho ikitokea mvua kubwa pale masana pale kuja makonde lohh hakufaiiii kwa mafuriko
Unachoongea ni kweli kabisa...Kwa kweli inasikitisha sana kuhusu mtaalamu aliye chora na kupitisha ramani ya barabara inayoanzia mwenge mpaka Tegeta. Wengi wa watumiaji tunapata taabu sana tunapotaka kuingia barabara za pembezoni.
Mara nyingi tumejikuta tukiwa katika hatari ya kugongwa kwa nyuma ya magari yetu kwa ukosefu wa maeneo ya kuwapisha wenzetu wanaotakiwa kwenda moja kwa moja.
Mfano mzuri ni pale Tangi Bovu kama unatoka mjini na unataka kuingia upande wa kulia yaani Ally Sykes road au anayetoka barabara hiyo na kutaka kuelekea Tegeta wote hao wanakuwa katika hatari ya kupata ajali.
Tunaomba mamlaka husika kabla ya kuipokea barabara hii watoe ushauri na maagizo ya kufanyiwa marekebisho sehemu zote hizo ili ionekane tuna wataalamu wanaojenga barabara za karne hii.
Uturn kweli ni pale unapogeuza kuelekea mwenge,we umetoa mfano kama unashuka kwenda rainbow, mfano huo huo unatokea lugalo ila unataka kwenda pale NBC tawi la mbezi beach utafanyaje kama sio ku uturn?? Na alama hio ya uturn ndo zimekuwa crossed, Je mtu akageukie wapiInaonekana hujui maana ya U-turn...mfano, ukiwa unatokea lugalo ukafika kanisani (mbele ya kwa komba) kuna uwazi unaruhusiwa kuingia barabara ya upande wa pili na kuunganisha barabara inayokupeleka mpaka raibow....(huwezi kuita hiyo ni u-turn)....U turn ni pale unapotokea lugalo afu ukageuza na kurudi mwenge
Kama unataka kwenda NBC, unapaswa kuingia njia ya kwenda rainbow, geuza petrol station ya Puma (zamani Bp) alafu rudi tena barabara ya kuelekea mwenge.Uturn kweli ni pale unapogeuza kuelekea mwenge,we umetoa mfano kama unashuka kwenda rainbow, mfano huo huo unatokea lugalo ila unataka kwenda pale NBC tawi la mbezi beach utafanyaje kama sio ku uturn?? Na alama hio ya uturn ndo zimekuwa crossed, Je mtu akageukie wapi
Kwa kweli inasikitisha sana kuhusu mtaalamu aliye chora na kupitisha ramani ya barabara inayoanzia mwenge mpaka Tegeta. Wengi wa watumiaji tunapata taabu sana tunapotaka kuingia barabara za pembezoni.
Mara nyingi tumejikuta tukiwa katika hatari ya kugongwa kwa nyuma ya magari yetu kwa ukosefu wa maeneo ya kuwapisha wenzetu wanaotakiwa kwenda moja kwa moja.
Mfano mzuri ni pale Tangi Bovu kama unatoka mjini na unataka kuingia upande wa kulia yaani Ally Sykes road au anayetoka barabara hiyo na kutaka kuelekea Tegeta wote hao wanakuwa katika hatari ya kupata ajali.
Tunaomba mamlaka husika kabla ya kuipokea barabara hii watoe ushauri na maagizo ya kufanyiwa marekebisho sehemu zote hizo ili ionekane tuna wataalamu wanaojenga barabara za karne hii.
Kama unataka kwenda NBC, unapaswa kuingia njia ya kwenda rainbow, geuza petrol station ya Puma (zamani Bp) alafu rudi tena barabara ya kuelekea mwenge.
Mmekatazwa kupiga u turn sababu barabara ni ndogo sana...gari ikiwa kubwa kidogo inaweza kushindwa ku negotiate ile kona
Nimekuelewa sana ndugu. Na Sio kilometa 3 tu unaweza kwenda hadi kilometa tano na kwako unapaona pale lakini lazima uzunguke ndio uweze kuingia mtaa wako. Sasa wa tz Kila kona mtu anataka aingie apendavyo yeye. Watu wanashindwa kutofautishga high ways na barabara za mitaani. Serikali itilie mkazo watu wakasome udereva na sheria za barabaraniJamani ndugu zangu watanzania,wakati mwengine tusilaumu kila kitu serikali,Je tujiulize pia madereva wengi Tanzania wanafahamu sheria za barabarani,maana hizo barabara zimejengwa kwa ufadhili wa nchi za nje na hao wafadhili wana watu wao pia uishi nchini ,na huko kwao unaweza kukuta kuna barabara ya 3km uruhusiwi ku..overtake..na wao kwa kuwa wanafahamu sheria za barabarani vizuri utii ,lakini kivumbi tanzania kila mtu mbabe barabarani,.kwa sababu hizo basi lazima nyinyi kama wapenda sifa barabarani muone tofauti..tiii sheria barabarani ujikinge au uaifanye ajali.
Inachekesha zaidi kuanzia tangi bovu hadi africana nadhani alama ya uturn imekuwa crossed ikimaanisha hairuhusiwi kufanya uturn, sasa kiuhalisia sijui mtu ukiwa unauhitaji wa kuvuka upande wa pili sehemu sahihi ya kugeuza sijui ni wapi
Hizo alama za kuzuia uturn mtoe tu jmn mana uturn zafanyika kama kawaida popote mtu anapohitaji
Na kuna service road flan hivi wanajenga smwhr around shule across shamo towers kwenda tangi bovu imalizieni basi itumike,asubuhi mara ukute traffic wanakamata watu pale anyway labda coz haijaisha ujenzi, otherwise lengo la service road ni nini,
Mwisho ikitokea mvua kubwa pale masana pale kuja makonde lohh hakufaiiii kwa mafuriko
Nakubaliana na wewe mkuu kwa asilimia mia moja.
Usanifu wa barabara hii NI BOMU.
Msanifu ambaye ni mjapani nasikia anaitwa INGEROSEC, ndiye yule yule aliyesikmamia Kilwa Rodi.
TANROADS ndio wa kulaumiwa hapa kwa kukubali kuuziwa mbuzi ndani ya kiroba.siyo siri, usanifu ni bomu, na msanifu hafai.
Mimi huwa nadhani ni style ya nchi nyingine ya barabara tumeletewa TZ maana ni maajabu ya dunia. Ni shida na kero tupu.