Inaitwa Decceleration lane kama unatoka barabara kuu kuingia pembeni. Acceleration lane ni ile unapotoka pembeni kuingia njia kuu.Inaitwa "Acceleration lane". Kwenye hii barabara ya Mwenge -Tegeta nadhani nimeziona mbili tu, pale junction ya Africana na inapoishia barabara kule Tegeta.