Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

Ok, kama ni hivyo ulimpongeza Lema alivyomgomea Gambo juzi?
Kusema kweli Lema alikuwa na hoja ya msingi kabisa ijapokuwa sikupenda alivo create scene pale.

Ila nilimuelewa sana na nakubalianaa naye 100%.
 
Chadema inatakiwa wajue jambo moja kuwa
Ubovu wa CCM hauifanyi CHADEMA kuwa bora. Wanahitaji uongozi mpya na akili mpya za kuwavusha hasa mwaka 2020, mh Mbowe amekwisha kaa miaka 16 nadhan kafanya pa kutosha. Pia katibu mkuu Dr Mashinji sidhani kama ana fit pale kwenye ukatibu.
*tujitafakari, mabadiliko yanaanza na sisi

Mkuu hata kama cdm wafanye vizuri vipi na ccm waboronge vipi kwa muundo huu wa tume na jeshi kugeuka kuwa taasisi ya ccm ni wazi ccm itaendelea kuwa madarakani. Wakati cdm waliposimamia hiyo misimamo yao na kukubalika mbona hata chaguzi za marudio bado ccm ilishinda? Umesahau ule msemo wa chopa 3 kata 3? Na sasa hiv ndio wananchi watazidi kuwa waoga na hakuna mtu atajitokeza kuonyesha msimamo wala upingaji wowote, fahamu kitu uchochezi. Sasa hivi hata uwe na misimamo vp hakuna pa kuonyeshea misimamo kwa mkulu hana uvumilivu wa kisiasa hata kwa wanaccm wenzie. Sasa ni kuburuzwa tu kwani hao cdm wamejitahidi lakini wananchi ni makondoo.
 
Tunataka dawa mahosipitalini na mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu acheni kututoa kwenye reli.
 
Ukabila ni mbaya sana,anyway CHADEMA haiwezi kuwa irrelevant wakati hakuna siasa zinafanyika nchini,labda utuambie ni chama gani Kipo relevant wakati huu,CCM wenyewe ni irrelevant kutokana na hali halisi iliyopo,NI MTU MMOJA TU YUPO RELEVANT NA ANATAKIWA ASIKIKE ASEME NA ASIKILIZE MWENYEWE,SI MWINGINE NI POMBE.
 
Uajabu wake ni kutaka majibu unayoyataka tu kutokana na unacholenga. Hufanyi vyema. Unapaswa kuacha watu wajadili nawe uwe mtazamaji
Umekosea. Sitaki majibu ninayoyataka kutoka kwa wachangiaji. Kama unafikiri hivo basi hizo ni hisia zako na ni potofu.

Na suala la kupaswa kuwaacha watu wajadili halafu niwe mtazamaji tu nalo umekosea.

Hili ni jukwaa huru. Nami nina haki ya kutoa maoni juu ya maoni ya wengine kama vile ambavyo nao wana haki ya kuyatolea maoni maoni yangu.

Kwa nini nianzishe mjadala halafu nisishiriki?

Hakuna hiyo.
 
....
......wekeni mpira kati viwanja vya Dar ,Mbeya, Arusha ,Mara ,Mwanza vitakuambia huyo irrelevancy ni mdudu gani....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ukabila ni mbaya sana,anyway CHADEMA haiwezi kuwa irrelevant wakati hakuna siasa zinafanyika nchini,labda utuambie ni chama gani Kipo relevant wakati huu,CCM wenyewe ni irrelevant kutokana na hali halisi iliyopo,NI MTU MMOJA TU YUPO RELEVANT NA ANATAKIWA ASIKIKE ASEME NA ASIKILIZE MWENYEWE,SI MWINGINE NI POMBE.
....
....uko sahihi Mkuu
 
Kama mlikuwa mnatii agizo mbona mliweka mikwara ya kusema lazima muandamane tarehe 1 october?
Sisi tuna mipango yetu ambayo haiendeshwi toka Lumumba, tukiamua kuandamana tutaandamana muda wowote na popote pale bila kumuogopa panya rodi yeyote.
 
Kusema kweli Lema alikuwa na hoja ya msingi kabisa ijapokuwa sikupenda alivo create scene pale.

Ila nilimuelewa sana na nakubalianaa naye 100%.
Ulitaka Lema afanyenini, RC alikuja kwa shari from the first place kwa hiyo alistahili awe treated the same.
 
mtu kama unaandika miafrika ndivyo tulivyo......halali yako ata hoja yako imekaa ivoivo

usa baby
 
Kadri siku zinavyoenda ndo ukweli nao unavyozidi kujidhihirisha kuwa CHADEMA inaelekea kwenye irrelevancy.

Mimi hata sijui siku hizi wanasimamia nini na wanasimama wapi.

Uongozi wake wa juu umepwaya mno. Hauna jipya. Hauna ubunifu. Chama kipo kama hakipo vile.

Hakina misimamo ya kueleweka. Kimeishia kubadili badili gia angani na majini.

Viongozi wake hawana tena credibility. Hawana tena moral authority ya lolote lile.

Ufisadi wameacha tena kuupinga. Utadhani sio wao waliokuwa wanakuja na orodha za mafisadi na kudai huyu kaficha hela Uswisi....yule kaweka hela kwenye kisiwa cha Jersey na kadhalika.

Obituary ya CHADEMA ishaanza kuandikwa.

So long.....
CDM walipomeza chambo ya CCM wakajimaliza! Kwisha kazi hawana misingi wala wanachosimamia!!
 
Chadema inatakiwa wajue jambo moja kuwa
Ubovu wa CCM hauifanyi CHADEMA kuwa bora. Wanahitaji uongozi mpya na akili mpya za kuwavusha hasa mwaka 2020, mh Mbowe amekwisha kaa miaka 16 nadhan kafanya pa kutosha. Pia katibu mkuu Dr Mashinji sidhani kama ana fit pale kwenye ukatibu.
*tujitafakari, mabadiliko yanaanza na sisi
Huu ni ushauri mzuri sana.
 
Back
Top Bottom