Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

Sendeka sio katibu mkuu wa CCM. Isitoshe mada kuu inazungumzia CDM, sioni mantiki ya kuifananisha/kuilinganisha CDM na CCM.
Kwa hiyo CCM kuizungumzia CHADEMA ni sawa,ila CHADEMA kuizungumzia CCM hapana,sio?
 
Ooh yes...hapo zamani za kale...zama zile ambazo chagadema ilisimama majukwaani mfano pale mwembe yanga na kunadi kuwa mzee lowasa ni fisadi papa mambo yaliwaendea murua sana...

Infact during that time chagadema were our heroes...but its very very unfortunate they forgot that in classical politics hero also dies...

This is what happening now...From Ukawa...To Ukuta now i can see them to Ukiwaaa...

So Sad....
 
Ngabu naona umechukua nafasi ya MM. Watakuwa relevant wakati hawaruhusiwi kufanya mikutano ya hadhara nacsiasa? Mnawanyima uhuru wa kidemokrasia halafu unakuja mbio kudai wamekuwa irrelevant?
 
Kadri siku zinavyoenda ndo ukweli nao unavyozidi kujidhihirisha kuwa CHADEMA inaelekea kwenye irrelevancy.

Mimi hata sijui siku hizi wanasimamia nini na wanasimama wapi.

Uongozi wake wa juu umepwaya mno. Hauna jipya. Hauna ubunifu. Chama kipo kama hakipo vile.

Hakina misimamo ya kueleweka. Kimeishia kubadili badili gia angani na majini.

Viongozi wake hawana tena credibility. Hawana tena moral authority ya lolote lile.

Ufisadi wameacha tena kuupinga. Utadhani sio wao waliokuwa wanakuja na orodha za mafisadi na kudai huyu kaficha hela Uswisi....yule kaweka hela kwenye kisiwa cha Jersey na kadhalika.

Obituary ya CHADEMA ishaanza kuandikwa.

So long.....
Tatizo si kwamba CHADEMA inaenda kwenye irrelevance, tatizo Tanzania hakuna chama cha siasa.

Kuna maigizo ya vyama vya siasa.
 
Ccm kinakata pumzi kwa kweli hivi tunyuzi twa kiduwanzi kama hutu tunawezaje kuzuia hasira za wakulima maskini ambao watoto wao wamenyimwa mkopo wa elimu? Ole sendeka amefeli kwenye kuajiri aisee
 
Kinachofurahisha zaidi eti unamuona kiongozi wa CHADEMA anatoa siku saba kwa serikali kufanya jambo fulani.

Siku zikiisha huwezi kumsikia tena akisema lolote zaidi ya kuufyata.

Mzee Slaa aliwauliza kama Lowassa ni Asset au Liability.

Kwa sasa jibu tunalopata ni kuwa, Lowassa alikuwa asset kwa muda mfupi lakini kwa muda mrefu ni Liability.

Lowassa amekuwa kama ndiye Kiongozi Mkuu wa CHADEMA.

Nilishangaa siku moja kumuona Mbowe anamfungulia Lowassa mlango wa gari ili ashuke na hii ilikuwa kwenye mkutano wa CHADEMA ambapo kiitifaki, Mbowe anatakiwa awe mtu wa mwisho kufika nawa kwanza kuondoka.
 
CHADEMA ilisimamia msingi wa kupinga ufisadi wa serkali ya CCM, kitu kilichoifanya CDM kutambulika na kukubalika.

Lakini ufisadi wa chama tawala hautakiwi kuwa msingi pekee wa chama cha upinzani kusimama kwani siku ufisadi wa CCM ukiyeyuka CDM watakosa hoja na kuwayawaya hewani(Kama inavyoashiria).

Kwa sasa CDM wanajaribu kutumia changamoto kwenye serekali ya JPM kama kete/msingi wa kusimamia ili kupata uungwaji mkono wa wananchi(ona jinsi wanavyokuwa shap kushadadia changamoto za serekali).

Kwa mtazamo wangu, CDM wanatakiwa kubuni sera nzuri za kimaendeleo zitakazowapa uungwaji mkono hata bila ya kuhusisha mapungufu ya CCM.
 
Mkuu,mimi si CHADEMA. Nimechangia kama mtanzania
Mzalendo mwenye mahaba na Chadema,hakuna hata post yako moja inayoonyesha memam ya serikali ya CCM,wewe kila kukicha kazi ni kukosoa tu ,hatujaona unapotoa ufumbuzi,lakini wanapokosea Chadema wewe unasifia ,hata siku moja hujawahi kuikosoa Chadema kwanini tusikuite mwana CHADEMA?
 
Mkuu CHADEMA bado ngangari ndani na nje ya Bunge ndiyo sababu wameamua kuongoza nchi kwa mtutu wa bunduki kwa woga mkubwa waliokuwa nao dhidi ya CHADEMA.

Hawana sera hawana hoja sasa wamebaki kukurupuka na mwendo kasi huku nchi ikienda Alijojo. Nadhani umewasikia wazee wa CCM akina Mwinyi, Warioba na Butiku kuhusu huyu dikteta uchwara.

CHADEMA iliitwa chama cha Wachagga na wakristo lakini ikaendelea kupendwa na Watanzania wengi, ikafanyiwa kila hila na manyanyaso dhidi ya viongozi na wanachama lakini bado ikaendelea kukua tu. Ikatabiriwa kufa mara chungu nzima na wale waliojivalisha majoho ya Sheikh Yahya lakini utabiri wao ulikuwa ni utabiri uchwara. CHADEMA ngangari daima.
Bado ipo ngangari chini ya Laigwanan ambaye mlimshutumu kuwa fisadi papa na kubwa lao? Dah, mambo mengine lazima ujikane nafsi
 
Nukuu "Yanga haiwezi kukodishwa kama CHADEMA" Mzee Akilimali


Ha ha ha ha ha
 
ccm mnauliza na kujijibu wenyewe, alafu mpo ofisi moja au mpigiane simu, kuliko upuuzi huu
 
Kadri siku zinavyoenda ndo ukweli nao unavyozidi kujidhihirisha kuwa CHADEMA inaelekea kwenye irrelevancy.

Mimi hata sijui siku hizi wanasimamia nini na wanasimama wapi.

Uongozi wake wa juu umepwaya mno. Hauna jipya. Hauna ubunifu. Chama kipo kama hakipo vile.

Hakina misimamo ya kueleweka. Kimeishia kubadili badili gia angani na majini.

Viongozi wake hawana tena credibility. Hawana tena moral authority ya lolote lile.

Ufisadi wameacha tena kuupinga. Utadhani sio wao waliokuwa wanakuja na orodha za mafisadi na kudai huyu kaficha hela Uswisi....yule kaweka hela kwenye kisiwa cha Jersey na kadhalika.

Obituary ya CHADEMA ishaanza kuandikwa.

So long.....
Akili yako ni kama profile picture uliyoweka, we mgeni Tz? Amri ya mkuu kupiga marufuku mikutano hujaisikia? Huku kwetu CCM ni kama tuko wodini kuona wagonjwa, Kinana tulitaka afanye ziara na mikutano kufufua chama na tumweleze sababu ya kupoteza Jimbo. Mikutano ya NYUMBANI kila siku huwa unaifanya na mkeo na watoto, je mambo mnayofanya si yanaishia NDANI, jiongeze acha uzuzu.
 
Hayo yatafanyikaje ikiwa hakuna mikutano ya kutolea hadharani misimamo yao. Mkuu Nyani Ngabu kwa hali ilivyo ni kama hakuna siasa. Kufanya siasa sirini na kwenye makaratasi tu kuna changamoto zake. Jiongeze!
kuna mambo mengine sawa inategemea na changamoto kama hizo lakini licha ya yote hayo lazima tu wanachi watajua uelekeo na msimamo wa chama kama chama,swala kama la katiba mpya tume huru ya uchaguzi tulitegemea hata kuwepo na vikwazo gani haya mambo mawili makuu ni mambo ya msingi kama chama kuonyesha msimamo wake lakini kimya mpaka sasa,tusisingizie vikwazo vya serikali mbona lissu anaweza kusema dikteta uc...ra na tz nzma tukaelewa ila nafasi ya kutuambia chama inasimamia wapi mnashindwa kweliii???
 
Nyani Ngabu unakuwa kama sio great thinker, unaona kabisa mtu kafungwa mikono na miguu ulingoni bado unalaumu eti hatupi ngumi, pathetic.
CHADEMA ilikuwa inajivunia NGUVU YA UMMA. Vipi nayo imeshindwa kurusha ngumi?
Tukubali UKWELI kuwa CHADEMA imekosa MVUTO hata kwa UMMA baada ya kuondoka kwenye misingi yake ya awali ilichokifanya chama kiaminiwena UMMA
 
Back
Top Bottom