Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

Mzalendo mwenye mahaba na Chadema,hakuna hata post yako moja inayoonyesha memam ya serikali ya CCM,wewe kila kukicha kazi ni kukosoa tu ,hatujaona unapotoa ufumbuzi,lakini wanapokosea Chadema wewe unasifia ,hata siku moja hujawahi kuikosoa Chadema kwanini tusikuite mwana CHADEMA?

hanaga akili huyo, ni wa kudharauliwa tu
 
Mtu makini na mwelevu kabisa, hawezi kuombea chama chochote imara cha upinzani kife katika nchi hii, kwa sababu tayari anajua hali ilikuwaje wakati nchi ilipokuwa na chama kimoja. Only a goofy person can have this woeful thinking..
 
Kadri siku zinavyoenda ndo ukweli nao unavyozidi kujidhihirisha kuwa CHADEMA inaelekea kwenye irrelevancy.

Mimi hata sijui siku hizi wanasimamia nini na wanasimama wapi.

Uongozi wake wa juu umepwaya mno. Hauna jipya. Hauna ubunifu. Chama kipo kama hakipo vile.

Hakina misimamo ya kueleweka. Kimeishia kubadili badili gia angani na majini.

Viongozi wake hawana tena credibility. Hawana tena moral authority ya lolote lile.

Ufisadi wameacha tena kuupinga. Utadhani sio wao waliokuwa wanakuja na orodha za mafisadi na kudai huyu kaficha hela Uswisi....yule kaweka hela kwenye kisiwa cha Jersey na kadhalika.

Obituary ya CHADEMA ishaanza kuandikwa.

So long.....

Kabla ya kuilaumu CHADEMA inabidi tujiulize, je chama cha siasa kitafanya vipi siasa kama hakipewi mazingira ya kufanya siasa?
 
Hayo yatafanyikaje ikiwa hakuna mikutano ya kutolea hadharani misimamo yao. Mkuu Nyani Ngabu kwa hali ilivyo ni kama hakuna siasa. Kufanya siasa sirini na kwenye makaratasi tu kuna changamoto zake. Jiongeze!
Mikakati ya chama inafanyika kwenye hadhara?...hata huko bungeni, hata viongozi wa chadema wakihojiwa kwenye media hawana mambo ya msingi zaidi ya kulia lia!
 
Hayo yatafanyikaje ikiwa hakuna mikutano ya kutolea hadharani misimamo yao. Mkuu Nyani Ngabu kwa hali ilivyo ni kama hakuna siasa. Kufanya siasa sirini na kwenye makaratasi tu kuna changamoto zake. Jiongeze!
Kwako wewe chadema ni mikutano ya hadhara tu
Mbona orodha ya mafisadi mmeng'oa kwenye tovuti yenu?
pole sana
 
Kumbe unajua Chadema kinamipango mizuri halafu unasema viongozi hawana weredi ndo mana nkakwambia anzisha chama chako weka ubunifu huo umtaarifu na dicteta uchwara kuwa unafanya mikutano na maandamano.
Mipango mizuri ipi?ya kupiga milioni 150 kwa mwezi?
 
Gia ya ufisadi imekufa kifo cha mende. Dr Slaa alionekana msaliti wakati nguvu ya fedha ilipokisambaratisha chama.

Mzee wa mvua ya Thailand ghafla akageuka kuwa malaika, baada ya miaka nane ya kufananishwa na yule mwovu.

Na wajipange kwelikweli, huyu wa sasa harembi hata kidogo, anatembea katika kile anachokiongea, na akifurahi halafu pawe na ngoma karibu basi lazima zimkumbushe enzi zile kule kijijini.
 
Kadri siku zinavyoenda ndo ukweli nao unavyozidi kujidhihirisha kuwa CHADEMA inaelekea kwenye irrelevancy.

Mimi hata sijui siku hizi wanasimamia nini na wanasimama wapi.

Uongozi wake wa juu umepwaya mno. Hauna jipya. Hauna ubunifu. Chama kipo kama hakipo vile.

Hakina misimamo ya kueleweka. Kimeishia kubadili badili gia angani na majini.

Viongozi wake hawana tena credibility. Hawana tena moral authority ya lolote lile.

Ufisadi wameacha tena kuupinga. Utadhani sio wao waliokuwa wanakuja na orodha za mafisadi na kudai huyu kaficha hela Uswisi....yule kaweka hela kwenye kisiwa cha Jersey na kadhalika.

Obituary ya CHADEMA ishaanza kuandikwa.

So long.....
we lizee! ndo tatizo la kupiga punyeto uzeeni sa' ndo umeandika nini?
1.wamezuia mikutano ya ndani
2.wamezuia mikutano ya hadhara
3.wanafungia vyombo vya habari
4.wamawafungulia mashtaka wasema
ukweli
5.wanahumu.miradi y maendeleokwenye majimbo ya upinzan
6. wanahujumu vyama kwa kupandikiza migogoro
7.wamezuia bunge lisionyeshwe
alafu anakuja hapa nguruwe pori kumwaga uharo naanza kuamini tafiti mleta uzi ana utapia akili
 
binafsi naona kuna haja ya lowassa kuusema ukwel juu ya tuhuma anazo2humiwa il hata akina mnyike wawe huru lkn akiwa kimy hv2 na kusema waende mahakaman haitaleta afya kwa chama! tanzania h wa2 n wadadis hata kama hakwenda shule. CDM msipo fanya hvyo mtakiua chama,kwan kuna ugum gan mzee El kuusema ukwel il hal ye2 sio fisadi,ukimya unamajib meng sana.
 
Back
Top Bottom