Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

Kadri siku zinavyoenda ndo ukweli nao unavyozidi kujidhihirisha kuwa CHADEMA inaelekea kwenye irrelevancy.

Mimi hata sijui siku hizi wanasimamia nini na wanasimama wapi.

Uongozi wake wa juu umepwaya mno. Hauna jipya. Hauna ubunifu. Chama kipo kama hakipo vile.

Hakina misimamo ya kueleweka. Kimeishia kubadili badili gia angani na majini.

Viongozi wake hawana tena credibility. Hawana tena moral authority ya lolote lile.

Ufisadi wameacha tena kuupinga. Utadhani sio wao waliokuwa wanakuja na orodha za mafisadi na kudai huyu kaficha hela Uswisi....yule kaweka hela kwenye kisiwa cha Jersey na kadhalika.

Obituary ya CHADEMA ishaanza kuandikwa.

So long.....
Umejiandaa kwa matusi?
Hawa jamaa ukikosoa tayar umejitakia ugomvi wao wanataka uwasifie tu hata kwa yasiyo kuwepo
 
Back
Top Bottom